D
Deleted member 485868
Guest
Haha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahah, mkuu mimi nimeoa wake wawili, na vyuma vimelegea kwangu nampango wa kumaliza wawili wa mwisho nazani niwatolea humu jf... ndo michakato inasonga Pm ukoSamahani kwa kuchelewa kufika kwenye huu Uzi......
Huwa nashangaa sana hizi threads za pale mtu anapo tamani kumjua mwingine kiundani, wakati huohuo yeye haja bainisha kwaupande wake kile chenye anataka wengine waweke wazi....
Naomba kuwasilisha