- Thread starter
- #181
Hapa namlenga kijana anayetaka kuingia kwenye ndoa 20-30. Asioe mdada wa 25+. Maana kwa mwanaume kufanya ufuska ktk umri wa miaka 18-25 ni nadra sana. Atafanya kwa kipato kipi? Wasichana wakisha vunja ungo tu wanafuatwa na mibaba 30+ yenye ndoa zao na kuanza kuruka nayo. Unaiona tofauti mkuu?Wewe umepitia wangapi,ukadanganya wangapi,umejeruhi wangapi, na umebeba mikosi kiasi gani? Biashara bila mteja haiuzwi bana na ile habari huwa kuna mwanaume na mwanamke,acha kuji console adui wa mafanikio yako ni wewe mwenyewe.
Kwahiyo kijana kiume 26 akioa msichana 25 ameoa legendary wa migegedo. Hawawezi kamwe kuwa sawa