Hapa namlenga kijana anayetaka kuingia kwenye ndoa 20-30. Asioe mdada wa 25+. Maana kwa mwanaume kufanya ufuska ktk umri wa miaka 18-25 ni nadra sana. Atafanya kwa kipato kipi? Wasichana wakisha vunja ungo tu wanafuatwa na mibaba 30+ yenye ndoa zao na kuanza kuruka nayo. Unaiona tofauti mkuu?Wewe umepitia wangapi,ukadanganya wangapi,umejeruhi wangapi, na umebeba mikosi kiasi gani? Biashara bila mteja haiuzwi bana na ile habari huwa kuna mwanaume na mwanamke,acha kuji console adui wa mafanikio yako ni wewe mwenyewe.
Sisi tumezaliwa watatu na midume tupuDada zako wote wemeolewa wakiwa chini ya miaka 25?
Mkuu wewe ni miongoni mwa wachache wenye jicho la ufahamuumesema kwel kabsa
Vip na nyie tayaliSisi tumezaliwa watatu na midume tupu
Tayari kufanyaje?Vip na nyie tayali
siyo kufaham tu ni mwathrka wa jambo hilo umesema nikadhani unaninanga mimiMkuu wewe ni miongoni mwa wachache wenye jicho la ufahamu
Amensiyo kufaham tu ni mwathrka wa jambo hilo umesema nikadhani unaninanga mimi
As if hiyo shughuli inahitaji fedha siku hizi ! ! Ebu fanya kautafiti kwenye shule za msingi kwanza uone wanavyo jimilikishana hao watoto, halafu urudi kutuambia hapa. Zamani wakuchungwa alikuwa ni binti lakini sasa mvulana ndiyo yuko ktk shida zaidi toka kwa majimama,majibaba na wa rika lake.Hapa namlenga kijana anayetaka kuingia kwenye ndoa 20-30. Asioe mdada wa 25+. Maana kwa mwanaume kufanya ufuska ktk umri wa miaka 18-25 ni nadra sana. Atafanya kwa kipato kipi? Wasichana wakisha vunja ungo tu wanafuatwa na mibaba 30+ yenye ndoa zao na kuanza kuruka nayo. Unaiona tofauti mkuu?
Kwahiyo kijana kiume 26 akioa msichana 25 ameoa legendary wa migegedo. Hawawezi kamwe kuwa sawa
Huyu itakuwa kwao ni choka mbaya. Maana ameanza uhusiano na huyu mama yeye akiwa na miaka 15 huyu mama akiwa mwalimu wake na akiwa na miaka 39. Yawezekana rais alivutwa na visenti vya ualimu vya mamaKwahiyo rais wa Uraransa Macro Ema tunamweka kundi lipi maan yy ameoa 64
Laana zote ameziondoa Mwana wa Mungu pale msalabani.
Hakuna anaweza kumpangia mtu umri wa kuoa au kuolewa, na kama unaamini katika laana jua hata wanaume nao pia hubeba laana hizo kwenye miili ya wanaotembea nao.
Wakati mwingine unapojaribu kumnyooshea mtu kidole tazama vinavyokurudia
ewaaa!! yanafungua mjadalaMawazo yako sio ya kutilia mzaha. Pengine yana mashiko
Huwa wanaenda makanisani kulia kwa sana. Baada ya kuharibu vizazi kuua watoto kwa kutoa mimbaMsalabani wapi wewe wacha kujipa no sweat, watu wenyewe mnaenda kanisani baada ya kula ujana. Hivi kanisani ndio wanaenda watu used na wasiofaa? Wkt wa ujana mambo mazuri mnakua busy, ikifika 26,27,...34 kuokaaaa
Msiusingizie msalaba kwa mambo ya ajabu, ni kweli kuna k na dushe zenye laana
Na mm nawagonga tu nalipa kisas mapemaNikweli ila hilo pia linatuhusu sisi wanaume. Unakuta mwanaume ameshatembea na wake zawatu kibao tegemea hata ww ukiowa mkeo atagongwa tuu