Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Hope na wewe utakuwa moja wapo ambae umewaharibia wadada wa watu maisha kwa kuwadaganya alafu unakuja kuleta porojo hapa jichunguze kwanza wewe ndio uanze kulaumu wengine
Sina shaka na muenendo wangu! Ila wadada wanakosa uvumilivu...cjui ndo utamu unanoga! Ila 25+ ya karne hii ni majanga matupu!
 
Wakina dada wanaishi katika jamii tofauti na wengine? Kama una mtazamo wa kuwa maadili yao yana mushkeli, basi ujue ni jamii yote, wakiwamo wanaume wanaowatumia kwa malengo yao yoyote yale. Msichsna huolewa, sada mtu unapomchezea na kumuacha bila ya kumuoa, yeye atafanya nini?
 
Kwann akubali kuchezewa sana!? Akifanyiwa visa mwanzo kwann akubali tena kuchezewa!? Sioni umuhimu wa kuwatetea!
 
Kwann akubali kuchezewa sana!? Akifanyiwa visa mwanzo kwann akubali tena kuchezewa!? Sioni umuhimu wa kuwatetea!
Ni swala la jamii nzima, kama si sahihi kujamiiana kabla ya ndoa, basi mwamaume na mwanamke, wote wahakikishe hilo. Sio kwa mwanaume kumrubuni mwanamke au kinyume chake, halafu lawama abebeshwe mmoja. Jamii yetu kwa sasa kujamiiana kiholela ni jambo la kawaida.
 
Kwani mkaka wa 25+ kaonja nyapu ngapi?
Kabeba laana na mikosi kiasi gani??
Swali jepesi mnoo...wanaume wanachelewa sana kuanza mambo ya mapenzi unlike women... naongelea majority!
 
Tunaharibiana hali ya hewa jamani. Mnatugusa gusa mjue
 
tupe na umri sahihi wa me kuoa. maana ndio wanaongoza kwa kuwarubuni ke kwa maneno na pochi zao
 

Ndoa ni muunganiko wa Kiroho, kisha baadae unafuata muunganiko wa kimwili. Kama hamna muunganiko wa Kiroho, hiyo ndoa haitakuwa na maendeleo despite ya umri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…