Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issue hapa mkuu siyo kuvumilia maumivu ya kupigwa chini. Naongelea maumivu anayo yapata kijana mwenye miaka 28-30 alikuwa busy na masomo na kujiandaa kuanza maisha. Anaamua kuoa anaangukia kwa mdada mwenye 25+Hii dhana ni potofu,binafsi naamini kuwa,kama wewe
bado unajihusisha na mambo ya kuhonga
wanawake jifunze kwanza kutoumia moyoni
endapo itatokea ukapigwa chini.
Mkuu Bill sisi wengine ni wasuluhishi wa migogoro ya ndoa tumeyaona na kuyasikia. Mtu anakuambia tangu nioe huyu mwanamke biashara zangu zinayumba. Hata kama huyu mwanamke ana kipato chake kikubwa.Hili jambo la kufikirika halina uhalisia.
hamna tofaut 20_25 ni same ageKuna tofauti gani kati ya 24 na 25 ???
Asante kwa kushukuru mkuu. Umeonesha uungwana.mtoa maada umenipa mwanga sana ubarikiwe
Mkuu swali lako gumu japo mm nimekupata mantiki yako. Ngoja na mm nikujibu hivi:Kuna tofauti gani kati ya 24 na 25 ???
Na ww umeshashiriki hiyo laana maana hta ww wapo wengi wa umri huo umewaacha piaHawa washachukua laana na mikosi toka wanaume tofauti tofauti waliokuwa wapenzi wao huko nyuma. Na wengine wameacha machozi ya machungu kwa wanaume walio wekeza nguvu na rasilimali zao kwa wanawake hao wakijua watawaoa. Lakini mwishowe wakasalitiwa.
Kuna swali linaulizwa na wengi, "kwanini ndoa za miaka ya zamani zilidumu kuliko za sasa? " Jibu: wanawake wa zamani walijitunza na hivyo waliolewa wakiwa mabikra.
Hawa wa siku hizi wanakuwa washaharibiwa kila tundu asilia la mwilini ndiyo wanaolewa. Halafu ndiyo unaoa mwanamke kama huyu, kisha utegemee mafanikio na utangamano katika ndoa? Migogoro na mikosi itakuandama tu.
Mfano mtu ashatembea na mijanaume mikubwa kiumri kuliko babako mzazi tangu akiwa na miaka 15, unategemea k imelegea kiasi gani? Hata ufanyeje utaishia kuonekana una kibamia. Unategemea hisia za kimapenzi ashapoteza kiasi gani? Kiharage kimekomaa mpaka kimeota magamba kama ya pelege. Unategemea ashachukua laana kiasi gani? Nyingine ziliingia kwa kunyonya, nyingine kwa kuruka ukuta na nyingine kuonyesha utupu kwa mtu mzima kuliko babake mzazi.
Wanawake wengi sana zaidi ya 95% ktk umri wa 25+ wanakuwa washapata mimba lakini huzitoa. Halafu anakuja humu na kujinasibu kwa kubana pua "nina miaka 26 sina mtoto". KE wa namna hii inabidi aulizwe ulimpeleka wapi mtoto? Kwenye nafsi yake lazima atakumbuka idadi kubwa ya watoto aliyowatupa chooni.
Ndugu yangu mwanamke wa namna hii utakuwa kila Unalolifanya linadunda maana umeoa nuksi.
USHAURI:
Ukitaka kuoa, oa mwanamke ambaye ni chini ya miaka 25 kiumri. Ana madhambi na laana chache. Na kila mipango utakayoipanga itafanikiwa kwa kuwa hakuna kikwazo ktk ndoa yako.
(JF ni mtambo wa kurekebisha tabia)
Huweza elewa Kwa sasa Ila Kwa badae utaelewa.Mchumba angu ana 27...af sina mpango wa kumuacha..inshort naoa!!
Hapana mkuu. Mtambo umechapisha.Mtambo umetapika
Mkuu éléments za ukweli siyo za kuuliza, ziko nyingi sana. Huwezi kumpiga denda demu aliyemwagiwa manii za wanaume 50+ ukabaki salama usiibebe mibalaa ya mibaba hiyo.Hili suala lina elements za ukweli flani ivi ndani yake
Asante kwa kongole mkuuUmenena vyema mkuu
Na hao wadada wanatembea na wanyama kama cyo wanaumeWanaume huchelewa sana kuanza mchezo huu. Wengi wanakuwa hawajaanza kuwa na vipato vyao