Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

Labda uoe kuanzia 15 kushuka chini vinginevyo ni sawa na abdalla kumwita dulla
 
Mkuu éléments za ukweli siyo za kuuliza, ziko nyingi sana. Huwezi kumpiga denda demu aliyemwagiwa manii za wanaume 50+ ukabaki salama usiibebe mibalaa ya mibaba hiyo.

Halafu unaweza kukuta wewe unapita mlango wa mbele tu kumbe mwenzako mlango wa nyuma ulishatumika mpk kubomoka kabisa
Kweli mkuu wadada wa siku hizi njaa mtupu
 
Usitumie experience yako,,,,kuamua maisha ya watu,,,laana haiji kwa sababu una miaka 25+ kwan wangapi wapo under 25. Na milaana kibao,,,,,wangap 25+ na soft life???
Toaga mada za msingi uleete hisia zako hapa
 
Mkuu soma na maoni ya wenzako uone wanavyonikubali
 
Samahani.Kwahiyo factor pekee uliyoona itamfanya mwanamke awe mke bora ni umri??If thats so basi ndugu yangu una fikra finyu.
Kitu kingine.Jamii imezoea kumtukana mwanamke left and right as if mwanamke ni kama possession tu,au pet.Yani mwanamke akitukanwa ni kitu cha kawaida sana.Eti wameshaharibiwa kila tundu sjui kiharage kimekomaa kina magamba .Well,kuna ukweli na una point ila kwanini ndugu yangu usijitofautishe na mchambaji.
You dont have to disrespect a woman to air your opinion or prove a point.So what? Kupata likes nyingi?

Ukweli ni kwamba vijana wakike na wakiume wote majanga tu wamelala na kusagana na wafanyakazi wa nyumbani.wamelala na masugar daddy na masugar mummy.kijana wa kike na wakiume wote wanaangalia porn na ku masturbate.vijana wasaiv hatujui hata kama UKIMWI bado upo.

Kwahiyo moral decay haijampita mtu.Ndoa kuvunjika na matatizo mengine ni makosa ya jinsia zote na sanasana jamii inayoendelea kumlaumu mwanamke badala ya kutafuta chazo halisi cha tatizo.
Kutokufikiri na kuwa na roho za kulaumu ndo kunaleta hizi solutions za kutokuoa wanawake 25+ .Mimi siwezi nikaolewa saivi eti kwasababu wanaume wananiona niko 'fresh' na 'msafi'.

Wanawake waliolewa mabikra ndio maana ndoa zimedumu?.okay.Ila ngependa kukwambia wanaume wa zamani walikuwa hawajifungii chumbani kuangalia seasons na kucheza games toka asubuhi mpaka jioni.Walikuwa hawategemei pesa za masugarmummy.Katika umri wa miaka 30 mwanaume wazamani alikuwa haishi kwao na kupikiwa na mama yake.Na alikuwa hamwombi mama yake hela ya vocha.
Mwanaume wasaiv atakuelezea sababu zote kwanini cr7 anastahili au hastahili ballon dor.au siasa.au atakuelezea kipi raha zaidi kufanya sex with or without condom.
Kupika kudeki chumba kimoja hawezi,kubadilisha tairi la gari hawezi,anaogopa panya,hajui kuendesha hata baiskeli,analala mpaka saa tano asb,akisikia pedi anacheka,kupiga pushup hawezi,anaogopa kuchinja kuku,hataki kula ugali,anaona sifa akiitwa mlevi,kazi yake kukaa vijiweni kuelezea jinsi gani amesoma.Pathetic.
Ndio maana wanaume wanaachwa halafu watasema papuchi pana and all disrespectful words.

Kwa ufupi usitegemee vitu vizuri wakati na wewe una balaa tupu.
 
Mmh ! Mkuu umefunguka !! Lkn ndiyo lengo la JF, kuleta controversial topics kama hizi ambazo zinagusa hisia za watu na kuwachokonoa ili wafunguke. Bila mada hii tata lini na wapi tungepata mchango wako mzuri kama huu ?
 
Back
Top Bottom