Umeoa unamke mchepuko wanini??

Umeoa unamke mchepuko wanini??

Hapa ndio kuna mtihani....una mke mzuri sana lakini ukimzoea unamuona wa kawaida....akipita Demu sura ya baba flat screen unapagawa kabisa sijui nini?
hapo uko wapi mkuu, Uko na shemeji?
 
Haijalishi mazingira gani unaishi na mke, wee jua tu hakuna mwanamke mmoja awezae kumridhisha mwanaume.
 
Back
Top Bottom