Umeona nini na nini kwenye hii Picha?

Umeona nini na nini kwenye hii Picha?

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Twende pamoja kwa wazee wa Photograph interpretation.
Mention kila ulichoona kwa hii picha
FB_IMG_1694166078725.jpg
 
Ndio maana watu wanajipigia tu huko Ngorongoro sio kwa akili hizi yaani neno moja tu ndio ufungue uzi kweli??😭😭😭😭😭
 
Huo ugali ni kwa ajili yetu sisi wanaume wa mkoani nyie wa "daslama" subirini chips zinakuja
 
Back
Top Bottom