Umeonaje kiwango cha Taifa Stars bila wachezaji wa Simba?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Ikiwa ndani ya mechi mbili ngumu ambazo taifa stars wamecheza moja dhid ya central Africa republic ambayo taifa stars tulishinda bila uwepo wa wachezaji wa Simba

Mechi ngumu nyingine ni ya Jana dhidi ya miamba ya sudani ambayo tumetoa droo bila kufungana ambapo ndan ya mech mbili tumepata point 4 bila ya wachezaji wa Simba

Swali ni je, wachezaji wa Simba hawana impact yeyote pale taifa stars?

Au ndio wanatuhujumu taifa stars tusifanye vizuri.

FB_IMG_16486128858627473.jpg
 
Au ndio wanatuhujumu taifa stars tusifanye vzr.
View attachment 2168856
ambayo tumetoa droo.....bila kufungana

Itakuwa game yenyewe ulisikiliza Tbc
 
Wewe hujaangalia mpira wala kusikiliza popote, umekurupuka tu na matokeo yako feki hivyo hata hutoweza kuchambua kiwango cha timu husika kama hujaangalia mechi.

Kifupi tu nikusaidie Stars jana ka draw 1-1 ambapo alianza kufungwa dakika za awali akaja kurudisha second half. Metacha ndie aliesababisha tufungwe goli la kwanza kwa kutema mpira mbele ya adui hivyo Pengo la Manula lilikua dhahiri.
 
Maana yake hakukuwa na mshindi
 
Ila ukiwa na hizi Tabia za Kabwili hata akili huwa zinayumba
Ikiwa ndani ya mechi mbili ngumu ambazo taifa stars wamecheza moja dhid ya central Africa republic ambayo taifa stars tulishinda bila uwepo wa wachezaji wa Simba

Mechi ngumu nyingine ni ya Jana dhidi ya miamba ya sudani ambayo tumetoa droo bila kufungana ambapo ndan ya mech mbili tumepata point 4 bila ya wachezaji wa Simba

Swali ni je, wachezaji wa Simba hawana impact yeyote pale taifa stars?

Au ndio wanatuhujumu taifa stars tusifanye vzr.
View attachment 2168856
 
Ndo maana watu wanalipuuzia litimu lenu kwa sababu ya maneno yenu ya kijinga.
 
Icho ni kiswahili tu mkuu......it means hamna mshindi apo
Kwenye lugha ya mpira maneno haya hutumika
Sare means matokeo sawa mfano 1-1, 2-2 kifupi ni kuwa timu zifungane kwa idadi sawa ya magoli
Then kuna suluhu yaani timu zisifungane kabisa iwe 0-0
Hicho ndo kiswahilii cha mpira
 
Ikiwa ndani ya mechi mbili ngumu ambazo taifa stars wamecheza moja dhid ya central Africa republic ambayo taifa stars tulishinda bila uwepo wa wachezaji wa Simba

Mechi ngumu nyingine ni ya Jana dhidi ya miamba ya sudani ambayo tumetoa droo bila kufungana ambapo ndan ya mech mbili tumepata point 4 bila ya wachezaji wa Simba

Swali ni je, wachezaji wa Simba hawana impact yeyote pale taifa stars?

Au ndio wanatuhujumu taifa stars tusifanye vizuri.

View attachment 2168856
Ikiwezekana Simba SC ndiyo iwe Taifa Stars ( Timu ya Taifa ) kuanzia sasa hasa Jumapili hii ijayo.
 
Tuseme tu ukweli, pengo lao halijaonekana. Maana timu imecheza vizuri karibia idara zote! Na kwa mafanikio makubwa.

Hongera nyingi kwa Kim Poulsen.
 
Back
Top Bottom