Mamndenyi una busara na hekima kama za suleimani kweli adui muombee njaa atanyoosha mikono hata kama alikuwa shujaa. Afu samahani naomba namba yako ya simu kuna jambo nataka nikwambie.
nimeota misiba ya watu tofauti ambao siwajui sana ila pia nawaona watu ambao nawajua wapo hai jee bepari unaeza ukageuka pweza kweli ili unifafanulie ndoto hii pia nimeshinda naimba nyimbo za msiba then nikijistukia hivi ndo naacha sina aman kabisaaaaaππ
beibe nasty usijali hilo ni pepo na jaribu kulikemea kwa nguvu zote! Lishindwe na lilegee katika jina la aliye juu!