Umepanga kuwapa zawadi gani Wazazi/Walezi wako msimu huu wa sikukuu?

Umepanga kuwapa zawadi gani Wazazi/Walezi wako msimu huu wa sikukuu?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Habari zenu Wakuu,

Wakati wengine wakijiandaa kuwapa zawadi Wapenzi wao sio vibaya nasisi tukawakumbuka waliotulea Wazazi/Walezi kwenye msimu huu wa SIKUKUU.

Mimi Mjanja M1 nimechagua kuwapa Wazazi/Walezi wangu zawadi ya kukaa nao SIKUKUU nzima pamoja na kuwapa zawadi nyengine nyingi including PESA.

SWALI
Wewe Mkuu umejipanga kuwapa zawadi gani Wazazi/Walezi waliokulea msimu huu wa SIKUKUU?

Mjanja M1 kwasasa napatikana Paris Ufaransa 🇫🇷
 
Kuwaunganisha kwenye Freemason nao wawe wanakula maokoto kwa raha zao.
 
Hawalambi hata 100 majukumu yamenizidia.
 
Niliwapa siku ya Kristmasi na nyingine muda wowote niwapavyo.
 
Back
Top Bottom