Umepangiwa chuo kipi na Course program ipi...?

MBUZI KWELI WEWE!!MITIHANI RAHISI NJOO UFANYE!!HUNA AKILI MBUZI WEWEE CHUO KUA CONSTITUENT COLLEGE NI KUJIPENDEKEZA??? ,MUCCoBS(SUA), HUWEZI KUFANANISHA NA ARDHI!!, KAMA KUWA CONstient college nikujipendekeza mbona wahITIMU WA ARDHI WALIKATAA VYETI VYA ARDHI WAKADAI VYA UDSM
 
Mnaotambiana kuhusu vyuo ni utoto unawasumbua mmesahau kuwa hata shule za kata kuna watu wanafaulu kuzidi shule kongwe pamoja na kuwa na mazingira mazuri pamoja na walimu, maisha ni zaidi ya kusoma ardhi,udsm,sua,saut,udom n.k.

Hili ni tatizo...nimekuja kugundua si hawa tu wa mwaka wa kwanza kama mie bali hata wa miaka ya nyuma ni hivi hivi...ni kupoteza muda tu
 
cheti chake kitaandikwa sua lakini transcript itaonyesha kasomea ushirika chuo ambacho wahadhiri wenye phd hawajai pishi. Majority ni ta na dogo anaona sawa tu...((almuradi)) cheti kitaandikwa sua!
muone hata hajui kuandika, almuradi ndio nini sasa??,
wewe hujawahi kufundisha chuokikuu mwalimu hawezi kuandika takataka hizi
 
WEWE MBUZI KWELI UNATAKA UKAWAANDIKE KWENYE RESEARCH YAKO ??? UONGEZE MARKS??? MUCCoBS(SUA) UMESOMEA CERTIFICATE HAPO NDEZI MKUBWAA WEWE

Aliyekwambia huwa tunaandika list ya wahadhiri kwenye research nani? And you are too proud to admit unafundishwa na Tutorial Assistants? Yes unathubutu kukejeli wenzako wanaofundishwa na wenye PhD?

Ushirika unajisifu? Ungesoma IFM au ARU unakoponda si ndio ungeona kila mtu takataka? Shameless low esteemed young boy!
 
SASA KATI YA MIMI NA WEWE NANI KILAZA HATA KUANDIKA KWENYEWE HUJUI!!C C NDIO NINI?? , UNACOMA NDIO NINI SASA?, C YA ARDHI NI D/E YA MUCCoBS(SUA), NA B YA ARDHI NI C YA MUCCoBS(SUA), , ARDHI KUNA MITIHANI MIGUMU?? USHAFANYA MINGAPI ??? .
 
acha kutoka mapovuuu.....kilaza wa ushirikaaa! fuatiliaa vizur hao kwa nn walitaka waandikiwe UDSM then utapata majibuu kumbuka ardh imezaliwa 2007! Je waliokuwa mwaka 3 au mwisho kwa mwaka huo 2007 walikuwa hawana haki ya kuombaa chet chao waandikiwee Udsm? Jipangee kilazaaa ww..! By the way ngoja niachane na ww coz ntaonekana cna akili kama weweeee! Overrrrrrr
 
mbuzi kweli wewe!! Nimefundishwa first year na dr.mwende unamjua??, dr.urio unamjua?? , profesa msanga unamjua??, profesa itemba unamjua??, mbuzi wewee eti ulikuwa lecturer ? ?kuandika kwenyewe hujui eti " ulmradi"takataka wewe nenda jalalani
 
muone hata hajui kuandika, almuradi ndio nini sasa??,
wewe hujawahi kufundisha chuokikuu mwalimu hawezi kuandika takataka hizi

Feed your ego young boy. Ushirika is where you are now. Accept it and simply shut up. You have no right to say a word against IFM which is far prestigous than Ushirika.
 
Mwambie mwaya,tena mweleze awe na adabu,ifm hailnganishwi na chuo kama muccobs,akajpange kama vp maana itakua amevurugwa huyo.
 
Mwambie mwaya,tena mweleze awe na adabu,ifm hailnganishwi na chuo kama muccobs,akajpange kama vp maana itakua amevurugwa huyo.

anajipendekeza sanaa eti kisa ni constituent ya sua! angepata Sua yenyewe cjui ingekuajee aiseee..!?
 
KUANDIKA KWENYEWE HUJUI!! WW NDIO NINI??, CNA NDIO NINI?? ARDH NDIO NINI??, NN NDIO NINI?? ,ETI MITIHANI RAHISI NDIO MAANA AVERAGE NI 50% UMEFANYA MITIHANI MINGAPI YA uE MBUZI WEWE
 
mwambie huyo maana kanikwaza kwel,et C ya muccoas ni sawa na B ya ifm,hv mbona kama unakurupuka tuu,hv unaijua ifm ww,ndo usome ifm uone jns core study inavokufanya urudie mwaka au udisco kabisa weye,cdhan hata kama unaijua sup kwa jns mnavotolewa mitihan miepec,acha kuropoka bla kufanya utafit.
 
mbuzi kweli wewe!! Nimefundishwa first year na dr.mwende unamjua??, dr.urio unamjua?? , profesa msanga unamjua??, profesa itemba unamjua??, mbuzi wewee eti ulikuwa lecturer ? ?kuandika kwenyewe hujui eti " ulmradi"takataka wewe nenda jalalani

mbuzi kweli wewe!! Nimefundishwa first year na dr.mwende unamjua??, dr.urio unamjua?? , profesa msanga unamjua??, profesa itemba unamjua??, mbuzi wewee eti ulikuwa lecturer ? ?kuandika kwenyewe hujui eti " ulmradi"takataka wewe nenda jalalani

You are a laughing stock. Usingizi mwema bwana mdogo.

Ukikua utatulia.
 
KUANDIKA KWENYEWE HUJUI!! WW NDIO NINI??, CNA NDIO NINI?? ARDH NDIO NINI??, NN NDIO NINI?? ,ETI MITIHANI RAHISI NDIO MAANA AVERAGE NI 50% UMEFANYA MITIHANI MINGAPI YA uE MBUZI WEWE

nimekupa fact Unaanzaa kukaguaa maandishi! dalili za kutokwa na povuu hizoo! Kojoa ukalale
 
KUANDIKA KWEnyewe hujui!!,miepec ndio nini??, utafit ndio nini? ? mnavotolewa ndio nini? ?, c YA IFM NI D/E YA MUCCoBS(SUA), B ya IFM NI C YA MUCCoBS(SUA)., C YA MUCCoBS 50%
 
WEWE MBUZI KWELI KWANI ARDHI KUNA NINI CHA AJABU, CHUO CHENYEWE AVERAGE40%, KIMEANZA 2000S, KWA TAARIFA YAKO MUCCoBS NI CONSTITUENT COLLEGE YA SUA!! CHETI CHA MUCCoBS KINAANDIKWA SUA
Hv wewe una akili vizur..unajua watu wanakucheka!!fanya research ndio uropoke maana hata hujui ardhi kimetokea wap??so na muhimbili ni cha 2000s au??na cheti cha sua na mzunbe ni tofauti we punga!!umeshaingia chaka mdogo wangu..kilaZa mkubwa wewe
 
Umekosa cha kufanya leo kila sehemu unapondea ifm kila sehemu si useme tu roho inakuuma hukuchaguliwapo hiyo average ya 40 unafaham hata inapatikana vipi? Ebu toa utoto wako subiri ufile chuo ndo utajua kwanini average zinatofautiana

Huyo Amevurugwa ndo maana anaiponda ifm.wameweka average ya 40% coz wanajua ugumu wa masomo yao,kuwekewa average kubwa cjui 50% ni sababu ya urahc wa masomo ya muccobs,we ushasikia kuna chuo zaid ya ifm ambacho mwanafunz akifel core study anarudia mwaka?! kama vp mi ntakufanyia mpango uje ifm afu 2one kama semester itapita bla we kudisco au kurudia mwaka,acha u....s...e..n...g...e
 
Dogo au unataka nikujulishe rasmi kuwa wote uliowataja hawana PhD isipokuwa mmoja tena wa biashara? I have been there. Usikejeli wenzako wakati uliko tunapajua ipasavyo.

Furahia chuo chako. Ridhika na ulichonacho. Na kwa sasa ni Ushirika. Enjoy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…