Umepangiwa chuo kipi na Course program ipi...?

Huyu dogo anatafuta faraja ya moyo kwa kuponda wanakosoma wenzake. Na ukiangalia vizuri hao anaowaponda yeye wanamzidi. Napajua vizuri Ushirika hanidanganyi.

UNAPAJUA MUCCoBS? SI ULIKUJA KUSOMA CERTIFICATE BAADA YA KUFELI FORM4, UKAJA KUANZIAA NA Certificate hebu niondokee hapa takataka
 
Moshi university college, institute of social ..., institute of finance management, sokoine university of agriculture, mzumbe university, university of dsm, university of dodoma , hapo vyuo ni vitano na taasisi mbili tu HIZO NI TAASISI(IFM &ISW) SIO VYUO VIKUU

huna lolote na lichuo lako la ushirikaaaaa bayaaaa
 
UMEVURUGWA MARINDA WEWE!KAMA MUCCoBS PABAYA MWAMBIE BABAYAKO AKAJENGE CHAKE!! CHUO CHAKO NI USINGIZI TU AVERAGE40% ,D YA MUCCoBS , B ya ifm ni C ya MUCCoBS ,
 
mm nimechaguliwa ARDHI UNIVERSITY ww!!! lakn nawapa big up IFM kuliko lichuo lako la ushirikaaaa hlo bayaaaa
 
BWABWA WEWE, UMEVURUGWA MARINDA!!, IFM,NDIO NINI??,, UNAZUNGUMZIA UBAYA WA MUCCoBS, ARDHI KUNA NINI CHUO CHA KIDADA AVERAGE 40%, , HATA USIPOSOMA SANA UNAFAULU, C YA IFM,ARDHI= D or E YA SUA&MUCCoBS.,B YA IFM & ARDHI = C YA SUA&MUCCoBS, UKO CHINI SANA KIUELEWA , MWANAFUNZI MWENYE g.p.a ya 3.0 wa ardhi&ifm, MUCCoBS&SUA =2.0
 
..wewe sasa utachekwa??unakiponda ARDHI kwa MUCCoBS???wewe una akili timamu??unakijua ARDHI vizuri??unajua wanasoma nn pale??au unaongea kiushabiki tu ili kupata umaarufu??jaribu kuwa mkubwa lakini ujue katika vyuo ambavyo vinatoa taaluma ambayo ni unique hapa tanzania basi ni ARDHI UNIVERSITY...mungu atakusaidia usiDISCO maana naona wewe ni kilaza wa mwisho..pole sana
 
BWABWA WEWE, UMEVURUGWA MARINDA!!, IFM,NDIO NINI??,, UNAZUNGUMZIA UBAYA WA MUCCoBS, ARDHI KUNA NINI CHUO CHA KIDADA AVERAGE 40%, , HATA USIPOSOMA SANA UNAFAULU, C YA IFM,ARDHI= D or E YA SUA&MUCCoBS.,B YA IFM & ARDHI = C YA SUA&MUCCoBS, UKO CHINI SANA KIUELEWA , MWANAFUNZI MWENYE g.p.a ya 3.0 wa ardhi&ifm, MUCCoBS&SUA =2.0

una lolote wewe unajipendekeza kwa SUA! kwan ukigraduate MUCCoBS chet chako kinaandikwa umegraduate Sua hata kama ni constituent university ya sokoinee! hiloo kilazaaa linashobokeaa sua..! ww ni kilazaaa tuuu unapataman ARDHI, SUA(main campus), UDSM, MUHIMBILI,UDOM!! Cema ulikosaa ndo maana ukapangiwa lichuo la ushirikaaaaaa libaayaaaa
 
Kwa nini mnapangiwa? Hamuwezi kuchagua wenyewe mnachopendelea na mnachotaka kusoma...?
 
hicho kilaza wala kisikupe tabu coz naona hana jipya??atadisco mwaka wa kwanza2 huyo..hana sifa ndio maana amechagua MUCCoBS,unafkiri hapendi kusoma udsm,ardhi,sua,udom au mzumbe??sema hana sifa ndio maana amekwenda huko patasote...:disapointed:
 
Binafsi nimepangiwa Bsc. Civil Engineering

Nenda kapige changa Coet maisha ya civil engineering magumu sana vzr kuanza maandalizi mapema sio mbwembwe uliopangiwa nao utawakuta 2 huko Udsm
 
Kwa nini mnapangiwa? Hamuwezi kuchagua wenyewe mnachopendelea na mnachotaka kusoma...?

Hapo ndipo ninaposhindwa kuelewa. Kulipa ulipe mwenyewe na pia upangiwe nini usomee. Mfumo huu ndio maana ni majanga tu
 
sa mnabishana nini?! acheni utoto

nyie ndo hadi advance mlikua mnashindana kuhesabu idadi ya tick na excellent kwenye madaftari yenu
 
Usiogope mwana,tukakomae tu.Tutakuwa wote Civil pale CoET.
 
Back
Top Bottom