Umepangiwa chuo kipi na Course program ipi...?

Na haonekani kuwa na adabu. Ukweli ni kwamba watu wenye PhD pale hawafiki watano labda wawe wameajiriwa usiku huu.

Sheria ndio kabisa. Majority ni TAs wenye LLB za Ruaha na Mzumbe. Assistant Lecturers (LLM) yeye anaamini ni Madaktari.

Wawili watatu wanaotambulika kama Profs wana Masters Degrees. Why? Hajui na ameridhika kutokujua. Tunaojua siri ya mtungi anatutusi.

Ya Ngoswe mwachie Ngoswe.
 
Last edited by a moderator:

MJINGA WEWEE SYSTEM YA TCU ILIYUMBA!! , MUCCoBS NILICHAGUA PSM NA LL,B FARASI WA KIKE WEWE
 
Last edited by a moderator:
hujui hata kuandika!!, niondoke na taasisi yako ya usimamizi wa fedha

Mfa maji......., na mbaazi zikikosa maua......,ngoja waje waerevu wajudge nani kaandika vzur,hahahaha we kilaza kweli,kama umeishiwa c uwe mpole,ya nn kujidai mjuaj?
 
toka hapaa mbuzi wewee nimekupa ushahidi kama hutaki kalalwe
 
Mfa maji......., na mbaazi zikikosa maua......,ngoja waje waerevu wajudge nani kaandika vzur,hahahaha we kilaza kweli,kama umeishiwa c uwe mpole,ya nn kujidai mjuaj?

IFM AVERAGE NI 40%, NA NI TAASISI WALA SIO CHUO KIKUU?? , C ya ifm NI D/E YA MUCCoBS ??, B ya ifm ni C YA MUCCoBS? ? ,
 
angalia umeona nakukosoa kwenye kuandika unaiga na wewe mbona huwi mbunifu mbuzi wewe? ?,
 
MJINGA WEWEE SYSTEM YA TCU ILIYUMBA!! , MUCCoBS NILICHAGUA PSM NA LL,B FARASI WA KIKE WEWE

una lolote kilazaa tuu wewe unatokwa na mapovuu! system iliyumba wap ww ulipangiwa marketing na TCU baada ya machaguo yako yote nane kukosaa kutokana na competetion kulinganisha na ufaulu wako mdogo uliokuwa nao, by the way TCU kutokana na huruma/busara yao ndo wakakupangia lichuo la ushirikaa NB; hiyo LAW umeonga hela ili uhamie/kuisoma hukuchaguliwa law usidanganye et TCU iliyumba, iyumbe imegeuka antenaa!! Ingekuwa mwaka huu wetu sisi ulitakiwa ujaze 2nd round
 
angalia umeona nakukosoa kwenye kuandika unaiga na wewe mbona huwi mbunifu mbuzi wewe? ?,

C afadhal mi mbuzi nyama na maziwa yangu yatawafaidisha wafugaj,sasa we chura 2takupeleka wap,kama sio mton ukaoge maana u mchafu mwil wako mpaka roho na maneno yako,kjana kaogeee
 
mimi ni kipajii toka form 1 mpaka 6, halafu rudia tena kuisoma ile thread
 
mimi ni kipajii toka form 1 mpaka 6, halafu rudia tena kuisoma ile thread

cjakuuliza umesoma wap.! Mbona usem ww kipaji mpaka chuo kikuu? Acha kutokwa na povuu, kweli ww kilaza me mwenyewe mbona special nimesomaa!! By the way uspecial wako wote lichuo la ushirikaa panakufaaaa!!
 
1.MUCCoBS PANATOFAUTI GANI NA HIYO ARDHI? IKIWA AVERAGE NI 40%
 
1.MUCCoBS PANATOFAUTI GANI NA HIYO ARDHI? IKIWA AVERAGE NI 40%

mm cpo kutofautisha vyuo hapaa! Nipo kukurekebisha ww kilazaa unaeiponda ifm wakat ww mwenyewe upo chuo la ushirikinaa, aahaha sorry ni ushirikaa
 
mm cpo kutofautisha vyuo hapaa! Nipo kukurekebisha ww kilazaa unaeiponda ifm wakat ww mwenyewe upo chuo la ushirikinaa, aahaha sorry ni ushirikaa

huna uwezo wa kunielekeza wewe wakati average yako ni 40%
 
wewe ni msomi??
 
c afadhal mi mbuzi nyama na maziwa yangu yatawafaidisha wafugaj,sasa we chura 2takupeleka wap,kama sio mton ukaoge maana u mchafu mwil wako mpaka roho na maneno yako,kjana kaogeee

c ndio nini??, wap ndio nini? 2ta ndio nini? Inaelekea unaandika hadi kwenye test zako hivihivi! Madhara ya kusomea kwenye taasisi
 
mm cpo kutofautisha vyuo hapaa! Nipo kukurekebisha ww kilazaa unaeiponda ifm wakat ww mwenyewe upo chuo la ushirikinaa, aahaha sorry ni ushirikaa

mm cpo kutofautisha vyuo hapaa! Nipo kukurekebisha ww kilazaa unaeiponda ifm wakat ww mwenyewe upo chuo la ushirikinaa, aahaha sorry ni ushirikaa

Fuatilia mabandiko yake utagundua huyu dogo ni mtumiaji mzuri wa nguvu kuliko akili. Hana hoja isipokuwa matusi na kejeli kwa anaohisi wamemzidi.

Guess what? Ni kuruta wa Polisi anayejiendeleza Ushirika. In other words ni Form Four aliyebangaiza kufikia aliko sasa. Kwake ni success. Tumwelewe.

Baada ya kushindwa kutetea chuo chake kani-PM (akidhani nitamweheshimu) kuwa kumbe ni Polisi anayejiendeleza.
No wonder he has the guts to compare his humble campus with prestigious campuses. Ushirika kwa Polisi ni mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…