Chromium
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 589
- 186
mkuu Chromium ngoja tuachane nae! NB; hiyo law yenyewe amehamia huko huko chuoni alipelekwa pale muccobs course flan ya marketing, so naona alioonga ili akasome hiyo law..!! Ushahd tafuta thread kama hii humu humu kwenye jukwaa la elimu selection za mwakajana 2012/2013 za tcu zilivotokaa uone, sema natumia simu now siwez ku attach evidence!
Na haonekani kuwa na adabu. Ukweli ni kwamba watu wenye PhD pale hawafiki watano labda wawe wameajiriwa usiku huu.
Sheria ndio kabisa. Majority ni TAs wenye LLB za Ruaha na Mzumbe. Assistant Lecturers (LLM) yeye anaamini ni Madaktari.
Wawili watatu wanaotambulika kama Profs wana Masters Degrees. Why? Hajui na ameridhika kutokujua. Tunaojua siri ya mtungi anatutusi.
Ya Ngoswe mwachie Ngoswe.
Last edited by a moderator: