flyn ryder
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 656
- 86
polis mnachukua!!!
we ni nani? sema wanachua, kuruta tu ww
Nimesikitika kujibizana na Polisi wa QT nikidhani ni mwanafunzi wa Elimu ya Juu. No wonder hana hoja zaidi ya matusi
ni kama inavyojieleza,ni ualimu wa technologia ya habari na mawasiliano karibu mkuu
Umeona bro eeeh..sasa huyu akiwa wakili si anaweza kupigana mahakamani..maana najua ni kilaza cha mwisho..atakua anashindwa kesi kila kitu..tukiwa na polisi 20 kama hawa tanzania wallah nchi ipo hatarini maana wanaweza kuua mtu bure bila kosa
Acha kudanganya uma umemaliza tabora boys mwaka gani,,,?NIMEMALIZA FORMSIX TABORABOYS, NIAENDA POLICE NIKAANZA NA USTAFF SAJENTI, NIKAPANDA CHEO NIKAWA r.s.m(regiment sameja), then nyotamoja(nilienda kusomea)(assistant inspector ), then inspector of police(nyotambili), then nikaenda kusoma uafisa wa ngazi za juu yaani nyota tatu(assistant superintendent of police,kwa kiswahili mrakibu wa msaidizi wa jeshi la police)
Utawadanganya mamburula tu wenzako ... Kwa wale wote wanaojua system ya upolisi na jeshi kwa ujumla wanajua namna system ya kupanda cheo ilivyo complicated sio kirahisi ka unavyoandika,,,,,NIMEMALIZA FORMSIX TABORABOYS, NIAENDA POLICE NIKAANZA NA USTAFF SAJENTI, NIKAPANDA CHEO NIKAWA r.s.m(regiment sameja), then nyotamoja(nilienda kusomea)(assistant inspector ), then inspector of police(nyotambili), then nikaenda kusoma uafisa wa ngazi za juu yaani nyota tatu(assistant superintendent of police,kwa kiswahili mrakibu wa msaidizi wa jeshi la police)
kwann akimbilie PM..kumbe pimbi sana huyu..naona ameingia mitini au sijui ndio yupo lindoni?..achana nae kaka hashauriki huyuNaona bado Polisi anamimina matusi PM kisa nimemleta hadharani. Nashangaa aina ya Polisi tulionao siku hizi wanaotukana watu wasiowajua. Never argue with a professional fool. People may not notice the difference.
I wasted my time responding to this low self esteemed Policeman.
Utawadanganya mamburula tu wenzako ... Kwa wale wote wanaojua system ya upolisi na jeshi kwa ujumla wanajua namna system ya kupanda cheo ilivyo complicated sio kirahisi ka unavyoandika,,,,,
nawahurumia wazazi wako..wamezaa mtoto mwenye degedege
Huyu kuruta sio mstaarabu..but amekubali kushindwa..tumsamehe ili mungu nae amsamehe na apate mafanikio..tulikua tunabishana na police asiejielewaumenichekesha saaana mkuu!
Karibu kijana...environmental engnering-ardhi
Huyu kuruta sio mstaarabu..but amekubali kushindwa..tumsamehe ili mungu nae amsamehe na apate mafanikio..tulikua tunabishana na police asiejielewa
Pongezi kwa kuchaguliwa kusoma degree yenye heshima kuliko zote duniani
WOOTE HAMNA AKILI!!, HIVI MTU ALIYEMALIZA FORMSIX MWAKA JANA 2012 ANAWEZA AKAWA NA NYOTA TATU(A.S.P)? ,NA POLICE WALIOENDA MWAKA JANA NDIO WAMEMALIZA JUZI C.C.P!!, , MIMI NI KIPAJI KWELI! NIMEWADANGANYA NAKUWATISHA MMEKUBALI?? , INAELEKEA NINGEWADANGANYA NA KUWATISHA zaidi ningewagegeda na kuwafumua maringaa
Mi nimebaki mdomo wazi... Bora hata ingekuwa jwtz kuliko polisi
Huyu kuruta sio mstaarabu..but amekubali kushindwa..tumsamehe ili mungu nae amsamehe na apate mafanikio..tulikua tunabishana na police asiejielewa