Umepangiwa chuo kipi na Course program ipi...?

Nimesikitika kujibizana na Polisi wa QT nikidhani ni mwanafunzi wa Elimu ya Juu. No wonder hana hoja zaidi ya matusi

Umeona bro eeeh..sasa huyu akiwa wakili si anaweza kupigana mahakamani..maana najua ni kilaza cha mwisho..atakua anashindwa kesi kila kitu..tukiwa na polisi 20 kama hawa tanzania wallah nchi ipo hatarini maana wanaweza kuua mtu bure bila kosa
 
MPIGAMSULI elimu yako ndogo,akili yako ndo kabsaa,sitajihusisha kukujibu chochote utachoandika,kujibizana na ww kutatufanya tuinekane na ss hazimo.mi nishakudharau.jaribu badilika
 
Umeona bro eeeh..sasa huyu akiwa wakili si anaweza kupigana mahakamani..maana najua ni kilaza cha mwisho..atakua anashindwa kesi kila kitu..tukiwa na polisi 20 kama hawa tanzania wallah nchi ipo hatarini maana wanaweza kuua mtu bure bila kosa

Naona bado Polisi anamimina matusi PM kisa nimemleta hadharani. Nashangaa aina ya Polisi tulionao siku hizi wanaotukana watu wasiowajua. Never argue with a professional fool. People may not notice the difference.

I wasted my time responding to this low self esteemed Policeman.
 
NIMEMALIZA FORMSIX TABORABOYS, NIAENDA POLICE NIKAANZA NA USTAFF SAJENTI, NIKAPANDA CHEO NIKAWA r.s.m(regiment sameja), then nyotamoja(nilienda kusomea)(assistant inspector ), then inspector of police(nyotambili), then nikaenda kusoma uafisa wa ngazi za juu yaani nyota tatu(assistant superintendent of police,kwa kiswahili mrakibu wa msaidizi wa jeshi la police)
Acha kudanganya uma umemaliza tabora boys mwaka gani,,,?
 
NIMEMALIZA FORMSIX TABORABOYS, NIAENDA POLICE NIKAANZA NA USTAFF SAJENTI, NIKAPANDA CHEO NIKAWA r.s.m(regiment sameja), then nyotamoja(nilienda kusomea)(assistant inspector ), then inspector of police(nyotambili), then nikaenda kusoma uafisa wa ngazi za juu yaani nyota tatu(assistant superintendent of police,kwa kiswahili mrakibu wa msaidizi wa jeshi la police)
Utawadanganya mamburula tu wenzako ... Kwa wale wote wanaojua system ya upolisi na jeshi kwa ujumla wanajua namna system ya kupanda cheo ilivyo complicated sio kirahisi ka unavyoandika,,,,,
 
Naona bado Polisi anamimina matusi PM kisa nimemleta hadharani. Nashangaa aina ya Polisi tulionao siku hizi wanaotukana watu wasiowajua. Never argue with a professional fool. People may not notice the difference.

I wasted my time responding to this low self esteemed Policeman.
kwann akimbilie PM..kumbe pimbi sana huyu..naona ameingia mitini au sijui ndio yupo lindoni?..achana nae kaka hashauriki huyu
 
Utawadanganya mamburula tu wenzako ... Kwa wale wote wanaojua system ya upolisi na jeshi kwa ujumla wanajua namna system ya kupanda cheo ilivyo complicated sio kirahisi ka unavyoandika,,,,,

Mi nimebaki mdomo wazi... Bora hata ingekuwa jwtz kuliko polisi
 
Huyu kuruta sio mstaarabu..but amekubali kushindwa..tumsamehe ili mungu nae amsamehe na apate mafanikio..tulikua tunabishana na police asiejielewa

WOOTE HAMNA AKILI!!, HIVI MTU ALIYEMALIZA FORMSIX MWAKA JANA 2012 ANAWEZA AKAWA NA NYOTA TATU(A.S.P)? ,NA POLICE WALIOENDA MWAKA JANA NDIO WAMEMALIZA JUZI C.C.P!!, , MIMI NI KIPAJI KWELI! NIMEWADANGANYA NAKUWATISHA MMEKUBALI?? , INAELEKEA NINGEWADANGANYA NA KUWATISHA zaidi ningewagegeda na kuwafumua maringaa
 
mwisho wa siku hawaangalii ulikua chuo gani , wataangalia uwezo wako wa uelewa na utendaji kazi, sidhan kama A au B plus ndo inayofanya kazi ila juhudi, heshima uwezo uelewa kazini ndo unahitajika hata uwe na elimu ya form four hasa kwa sekta binafsi, juzi nimemsindikiza mtu interview kwa mchina , mchina hakuangalia hata vyeti vyake ,akamwambia nakuamini wewe kuliko makaratasi , hapo vipi ? Mchina hajui ARU wala MUCCOBS .. malumbano haya hayana maana ..
 
WOOTE HAMNA AKILI!!, HIVI MTU ALIYEMALIZA FORMSIX MWAKA JANA 2012 ANAWEZA AKAWA NA NYOTA TATU(A.S.P)? ,NA POLICE WALIOENDA MWAKA JANA NDIO WAMEMALIZA JUZI C.C.P!!, , MIMI NI KIPAJI KWELI! NIMEWADANGANYA NAKUWATISHA MMEKUBALI?? , INAELEKEA NINGEWADANGANYA NA KUWATISHA zaidi ningewagegeda na kuwafumua maringaa

Acha kutukana watu wewe ... Si hatukujui but tunaona unapenda misifa,, eti umemaliza Tabora boys mwaka jana,, Kuwa makini, ukiulizwa hata kiranja wako mkuu (Chief) ambaye amemeliza mwaka huo humfahamu,, kama unamfahamu mkuu mtaje/
 
Back
Top Bottom