Bachelor of arts in economics
karibu kijana kwenye ulimwengu wa wakandarasi. Daa but wacha usharo huku watu hatulali full ubundi!
Education with ict..udom
dah mkuu B.G nilikuwa naitamani sana hii yako lakini nimeikosa,any way nimepata computer science st.joseph
Bsc.Civil Engineering,UDSM.
chuo gani?kama udsm nitafute nikupe madesa.
hahaahaah! Ntakuwa nae class moja ikifika wakat wa course unit ya economics1! Coz lazima nisome hyoo unit
kwan umeambiwa kila mtu anayesoma sheria lazima awe wakili au hakimu??
kudos mkuu,,,you will never regret in life
jaman 2saidiane mtandao unasumbua namba yangu s0515/0051/2005,OIL SUMU help me plz
hivi ushirika yenye walimu wenye elimu ya kati inaweza kutoa mwanasheria atakayeelewa kesi yoyote achilia mbali kumtetea yeyote kortini? Hapo hata upige msuli ni bila bila
haahaahaa eti chuo cha ushirikaaa