Umepangiwa chuo kipi na Course program ipi...?

Umepangiwa chuo kipi na Course program ipi...?

vipi mtazima wengine bado tunakuta error ya apache kwa tuliopply kipitia cas
 
dah mkuu B.G nilikuwa naitamani sana hii yako lakini nimeikosa,any way nimepata computer science st.joseph

sio mbaya mkuu ila me hii hata sijui inahusu nn...bora yako facalty yako inaeleweka
 
hahaahaah! Ntakuwa nae class moja ikifika wakat wa course unit ya economics1! Coz lazima nisome hyoo unit

Hahahahah basi sawa mtani.....mungu atufanyie wepesi tupite na obstacle hii
 
jaman 2saidiane mtandao unasumbua namba yangu s0515/0051/2005,OIL SUMU help me plz
 
UD058 Bachelor of science in Civil Engineering, University of Dar es salaam
 
hivi ushirika yenye walimu wenye elimu ya kati inaweza kutoa mwanasheria atakayeelewa kesi yoyote achilia mbali kumtetea yeyote kortini? Hapo hata upige msuli ni bila bila

kuna maprofesa wakutosha sema nikutajie
 
Back
Top Bottom