Average ya 40% hapo ni kula bataaa ,ifm ni taasisi sio chuokikuu
Average ya 40% hapo ni kula bataaa ,ifm ni taasisi sio chuokikuu
UD058 Bachelor of science in Civil Engineering, University of Dar es salaam
nawatakia masomo mema wote muliochaguliwa kujiunga na vyuo mbalimbali,lakini mkumbuke
1 40% yenu hamtapractices kozi mlizosomea
2 20% watakuwa wajasiliamali
3 20% yenu watashindwa kufanya kazi kwa digrii moja wataona bora wakasomee master immediate tu baada ya kuhitimu first degree
4 100% yenu mtakuja kubaini kumbe jina la chuo halina nafasi kwenye ajira
5 50% yenu mtabaini maisha ya chuo ni matamu(kale kaposho ka meal and accomodation)kuliko huku mtaani.
pia MUCCOBS ni college co chuo kikuuu! Alafu poulee kama ujui me nipo UCLAS...ukipenda kiite ARU co ifm!! Note that kuhucu muccobs inatokana na Sua tuweke pemben coz ukicema hvyo na mm ntakuambiaa UCLAS(ARU) inatokana na UDSM!!! so lete fact co kudharau vyuo vya wenzakoooo mkuu mpigamsuli NB napenda challenge zakooo
ifm na teku bora teku japokuwa ckpend teku
Pongezi kwa kuchaguliwa kusoma degree yenye heshima kuliko zote duniani
ww acha uongo ARU n kama ARU ila DUCE na MUCE ndio UDSM
pamoja @chundabad singasingaaaaa#team
wadau vip wengi wenu mme chaguliwa first choice au last choice?....
upo pamoja na Young babu hapo ifm na yy pia ni Bankng&finance
mm ilikuwa ni 1st choice yangu!
wengi ni ya 4 au 5 choice mm nimepata ya 4 muce hv kwenu n kibosho au
kuna maprofesa wakutosha sema nikutajie