Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Huyu dogo anatafuta faraja ya moyo kwa kuponda wanakosoma wenzake. Na ukiangalia vizuri hao anaowaponda yeye wanamzidi. Napajua vizuri Ushirika hanidanganyi.
Moshi university college, institute of social ..., institute of finance management, sokoine university of agriculture, mzumbe university, university of dsm, university of dodoma , hapo vyuo ni vitano na taasisi mbili tu HIZO NI TAASISI(IFM &ISW) SIO VYUO VIKUU
huna lolote na lichuo lako la ushirikaaaaa bayaaaa
UMEVURUGWA MARINDA WEWE!KAMA MUCCoBS PABAYA MWAMBIE BABAYAKO AKAJENGE CHAKE!! CHUO CHAKO NI USINGIZI TU AVERAGE40% ,D YA MUCCoBS , B ya ifm ni C ya MUCCoBS ,
mm nimechaguliwa ARDHI UNIVERSITY ww!!! lakn nawapa big up IFM kuliko lichuo lako la ushirikaaaa hlo bayaaaa
..wewe sasa utachekwa??unakiponda ARDHI kwa MUCCoBS???wewe una akili timamu??unakijua ARDHI vizuri??unajua wanasoma nn pale??au unaongea kiushabiki tu ili kupata umaarufu??jaribu kuwa mkubwa lakini ujue katika vyuo ambavyo vinatoa taaluma ambayo ni unique hapa tanzania basi ni ARDHI UNIVERSITY...mungu atakusaidia usiDISCO maana naona wewe ni kilaza wa mwisho..pole sanaBWABWA WEWE, UMEVURUGWA MARINDA!!, IFM,NDIO NINI??,, UNAZUNGUMZIA UBAYA WA MUCCoBS, ARDHI KUNA NINI CHUO CHA KIDADA AVERAGE 40%, , HATA USIPOSOMA SANA UNAFAULU, C YA IFM,ARDHI= D or E YA SUA&MUCCoBS.,B YA IFM & ARDHI = C YA SUA&MUCCoBS, UKO CHINI SANA KIUELEWA , MWANAFUNZI MWENYE g.p.a ya 3.0 wa ardhi&ifm, MUCCoBS&SUA =2.0
Tuko pamoja ndugu.Uliiweka kama chaguo la ngapi?
binafsi nimepangiwa bsc. Civil engineering
BWABWA WEWE, UMEVURUGWA MARINDA!!, IFM,NDIO NINI??,, UNAZUNGUMZIA UBAYA WA MUCCoBS, ARDHI KUNA NINI CHUO CHA KIDADA AVERAGE 40%, , HATA USIPOSOMA SANA UNAFAULU, C YA IFM,ARDHI= D or E YA SUA&MUCCoBS.,B YA IFM & ARDHI = C YA SUA&MUCCoBS, UKO CHINI SANA KIUELEWA , MWANAFUNZI MWENYE g.p.a ya 3.0 wa ardhi&ifm, MUCCoBS&SUA =2.0
una lolote wewe unajipendekeza kwa SUA! kwan ukigraduate MUCCoBS chet chako kinaandikwa umegraduate Sua hata kama ni constituent university ya sokoinee! hiloo kilazaaa linashobokeaa sua..! ww ni kilazaaa tuuu unapataman ARDHI, SUA(main campus), UDSM, MUHIMBILI,UDOM!! Cema ulikosaa ndo maana ukapangiwa lichuo la ushirikaaaaaa libaayaaaa
Binafsi nimepangiwa Bsc. Civil Engineering
Kwa nini mnapangiwa? Hamuwezi kuchagua wenyewe mnachopendelea na mnachotaka kusoma...?