Umepangiwa chuo kipi na Course program ipi...?

sa mnabishana nini?! acheni utoto

nyie ndo hadi advance mlikua mnashindana kuhesabu idadi ya tick na excellent kwenye madaftari yenu

mkuu pitia jukwaa la elimu karibu thread zote huyu jamaa mpigamsuli anabishanaa na wenzake bt nilikuwa namuweka sawaa tuu! By the way sibishan nae tena namwachia hyo MUCCoBS
 
Last edited by a moderator:
me binafsi ardhi university- bachlr of science in building economics(quantity surveyor in profession)

kakomae sasa cunaona hyo pics ya profile naww utuletee hvyo, karibu mtaani
 
mm ni product ya ardhi ni chuo bora kuliko vyote vinatoa koz tofaut, ucsome chuo kufuata jina njoo mtaan utajua nn kinasemwa
 
mm ni product ya ardhi ni chuo bora kuliko vyote vinatoa koz tofaut, ucsome chuo kufuata jina njoo mtaan utajua nn kinasemwa

nakuamini kaka!!nimeziona product nyingi za ardhi zinavyopeta mtaani..course zake bado zina market sana..mm nakwenda kupiga geomatics mungu akinijaalia uhai na uzima!!..
 
hicho kilaza wala kisikupe tabu coz naona hana jipya??atadisco mwaka wa kwanza2 huyo..hana sifa ndio maana amechagua MUCCoBS,unafkiri hapendi kusoma udsm,ardhi,sua,udom au mzumbe??sema hana sifa ndio maana amekwenda huko patasote...:disapointed:

WEWE MBUZI KWELI KWANI ARDHI KUNA NINI CHA AJABU, CHUO CHENYEWE AVERAGE40%, KIMEANZA 2000S, KWA TAARIFA YAKO MUCCoBS NI CONSTITUENT COLLEGE YA SUA!! CHETI CHA MUCCoBS KINAANDIKWA SUA
 
WEWE MBUZI KWELI KWANI ARDHI KUNA NINI CHA AJABU, CHUO CHENYEWE AVERAGE40%, KIMEANZA 2000S, KWA TAARIFA YAKO MUCCoBS NI CONSTITUENT COLLEGE YA SUA!! CHETI CHA MUCCoBS KINAANDIKWA SUA

Ukigraduate Muccobs chet kinaandikwa Sua..? duuh hlo nitafuatilia ili nijuee..!
 
UNAPAJUA MUCCoBS? SI ULIKUJA KUSOMA CERTIFICATE BAADA YA KUFELI FORM4, UKAJA KUANZIAA NA Certificate hebu niondokee hapa takataka

Nimefundisha hapo miaka miwili kasoro. Mie sio undergraduate mwenzako dogo. Au kwa sababu najibishana na wewe umeniweka level yako?
 
MUCCoBS NI CONSTITUENT COLLEGE YA SUA KWA HIYO Ni SUA!! je ARDHI NA SUA WAPI NI CHUOKIKUU??, ARDHI PENYEWE average40%, utafananisha na SUA(MUCCoBS) 50%?
 
UMEVURUGWA MARINDA WEWE!KAMA MUCCoBS PABAYA MWAMBIE BABAYAKO AKAJENGE CHAKE!! CHUO CHAKO NI USINGIZI TU AVERAGE40% ,D YA MUCCoBS , B ya ifm ni C ya MUCCoBS ,

Dogo unayetukana wenzako, hebu tuonyeshe ulivyo na bahati ya kuwa Ushirika kwa kututajia wahadhiri watano tu wenye PhD chuoni kwako. Muondoe Bee na Magigi. Tafadhali.
 
Nimefundisha hapo miaka miwili kasoro. Mie sio undergraduate mwenzako dogo. Au kwa sababu najibishana na wewe umeniweka level yako?

KWANI WEWE UNADHANI MIMI NI LEVEL YAKO?? , , HUNA LOLOTE UMESOMA CERTIFICATE MUCCoBS BAADA YA KUHARIBU FORM4 NDEZI TU WEWE TAKATAKA
 
Nimepangwa ccp-bachelor ya kurusha vitu vyenye ncha kali
 
MUCCoBS NI CONSTITUENT COLLEGE YA SUA KWA HIYO Ni SUA!! je ARDHI NA SUA WAPI NI CHUOKIKUU??, ARDHI PENYEWE average40%, utafananisha na SUA(MUCCoBS) 50%?

Una ubishi wa kitoto sana bwana mdogo. Kua.

Mara mia IFM kuliko Ushirika. Huwezi kuzilinganisha taasisi hizi mbili kwa kiwango chochote.

Ardhi imezaliwa na Mlimani. Sasa amua mwenyewe.

SUA kama wao hawana tatizo. Wako kwenye viwango. Tatizo ni hiko chuo chao Kishiriki cha Moshi unakosoma wewe. Elimu unayoipata hapo haina sifa za kutunukiwa cheti na SUA. Period.
 
MUCCoBS NI CONSTITUENT COLLEGE YA SUA KWA HIYO Ni SUA!! je ARDHI NA SUA WAPI NI CHUOKIKUU??, ARDHI PENYEWE average40%, utafananisha na SUA(MUCCoBS) 50%?

ww kilazaa unacoma lichuo la ushirikaaa ucjipendekeze sua! Una sifa za kuingiaa Sua hata kama muccobs n constituent ya sua! So unajipendekeza Sua! Cc tunajua unasoma lichuo la ushirikaa hata ufanye nn ww kilazaa tuu! NB mitihan yenu mirahis ndo maana average yenu ni 50%
 
Mnaotambiana kuhusu vyuo ni utoto unawasumbua mmesahau kuwa hata shule za kata kuna watu wanafaulu kuzidi shule kongwe pamoja na kuwa na mazingira mazuri pamoja na walimu, maisha ni zaidi ya kusoma ardhi,udsm,sua,saut,udom n.k.
 
Dogo unayetukana wenzako, hebu tuonyeshe ulivyo na bahati ya kuwa Ushirika kwa kututajia wahadhiri watano tu wenye PhD chuoni kwako. Muondoe Bee na Magigi. Tafadhali.

WEWE MBUZI KWELI UNATAKA UKAWAANDIKE KWENYE RESEARCH YAKO ??? UONGEZE MARKS??? MUCCoBS(SUA) UMESOMEA CERTIFICATE HAPO NDEZI MKUBWAA WEWE
 
Cheti chake kitaandikwa SUA lakini transcript itaonyesha kasomea Ushirika chuo ambacho wahadhiri wenye PhD hawajai pishi. Majority ni TA na dogo anaona sawa tu...almuradi cheti kitaandikwa SUA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…