Vannele
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 287
- 90
jamaa hajui inavyokua,, amekalili tu,,, he knows nothing ... na badoooo
Huyo ndo mpiga msuli! Msamehe tu hajui alitendalo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa hajui inavyokua,, amekalili tu,,, he knows nothing ... na badoooo
Bachelor of banking and finance-IFM
karibu kijana kwenye ulimwengu wa wakandarasi. Daa but wacha usharo huku watu hatulali full ubundi!
WOOTE HAMNA AKILI!!, HIVI MTU ALIYEMALIZA FORMSIX MWAKA JANA 2012 ANAWEZA AKAWA NA NYOTA TATU(A.S.P)? ,NA POLICE WALIOENDA MWAKA JANA NDIO WAMEMALIZA JUZI C.C.P!!, , MIMI NI KIPAJI KWELI! NIMEWADANGANYA NAKUWATISHA MMEKUBALI?? , INAELEKEA NINGEWADANGANYA NA KUWATISHA zaidi ningewagegeda na kuwafumua maringaa
Dah dogo kakaze njoo uraiani.
heeeeeeeeeee!! chuo kuna MWALIMU?
NIT-Bachelor degree in logistic and transport management
Bachelor of Pharmacy.Muhimbili University of Health and Allied Sciences.
ujinga huu unataka nini sasa??
Hahahahaaa...mm napita tu atajibu mwenyewe mpiga msuli..mm nilikua cjui kama ana tabia hiiKafie mbali mi sina contact na mashoga ... unatafuta mume humu .. nenda ukawe shoga ulaya,, ushoga ulaya unalipa ... Bongo huna la kufanya unashadadia post za watu,,,,