Umepata funzo gani kutoka kwenye madeni?

Umepata funzo gani kutoka kwenye madeni?

Ukikopa lipa .... ukikopa lipa

Mkopo mtamuuu ila marejesho ni changamotooo
 
Kwa upande wangu madeni yamenifanya niwe na discipline ya hali ya juu, yaani extremely discipline kwenye pesa.

Pia yamenifanya akili iwe active kwenye kufikiri mipango na yamezidi kunipa courage na ujasiri wa kutafuta zaidi hakika madeni au kudaiwa kuna raha yake.
Nakazia, yaani unaamka saa kumi kutafuta hela ulipe madeni. Akili muda wote iko active
 
Madeni mazuri ya bank, yanakupa nguvu ya kupambana ili usiuziwe asset zako..!!
Mi na madeni hatuachani sababu nina ndoto kubwa, hapa nasubiri mkopo kutoka bank wa kumalizia nyumba 🤸🤸
 
Masikini ndio wanaogopa kukopa; matajiri wote duniani ndio wanaoongoza kwa kukopa; muhimu ujue, unakopa ili ukafanyie kitu gani.
Mkopo sio deni.....

Deni ni mkopo uliopitiza muda....ukikopa Hela ili urudishe ndani ya siku 30 huo ni mkopo ila zikipita siku 30 inakua deni, Sasa hao unaowataja Wana mikopo na sio deni
 
Madeni ni mume king'ang'a nimepumzika kukopa
 
Kama huna sababu yeyote ya lazima ya kukopa, basi usije ukajaribu!
 
Back
Top Bottom