Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Sana you become strongpamoja na kuw madeni yanarudisha hatua fulani za maendeleo nyuma lakini kwa kiasi chake yanaimarisha na kupata kujiamini.
Nakazia, yaani unaamka saa kumi kutafuta hela ulipe madeni. Akili muda wote iko activeKwa upande wangu madeni yamenifanya niwe na discipline ya hali ya juu, yaani extremely discipline kwenye pesa.
Pia yamenifanya akili iwe active kwenye kufikiri mipango na yamezidi kunipa courage na ujasiri wa kutafuta zaidi hakika madeni au kudaiwa kuna raha yake.
Na dawa ya mkopo ni kulipaUkikopa lipa .... ukikopa lipa
Mkopo mtamuuu ila marejesho ni changamotooo
HahahaKwanza nicheke [emoji3][emoji3]
Mimi yamenipa confidence simuogopi yeyote popote maana nishavuka stage za kupigwa mikwara mbuzi .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Ukinikopesha jitahidi sana uniheshimu na usivunje hata haki yangu mojawapo maana kwa kufanya hivyo sitakulipa nitang'ang'ania kwenye haki yangu tu.Hahaha
Mie meacha kopesha ndugu na marafiki kwa sababu huwa hawarejeshi na mwisho wa siku tunaishia gombanaNa dawa ya mkopo ni kulipa
Hii nikwelii Bora umpe tuMie meacha kopesha ndugu na marafiki kwa sababu huwa hawarejeshi na mwisho wa siku tunaishia gombana
Mkopo sio deni.....Masikini ndio wanaogopa kukopa; matajiri wote duniani ndio wanaoongoza kwa kukopa; muhimu ujue, unakopa ili ukafanyie kitu gani.