Wakuu pole kwa kazi ya ujenzi wa taifa! Naomba msaada wa maelekezo na hatua za kufuata kama umereseat na unataka kuwa na matokeo yako ktk cheti kimoja yaani kufuta ya zamani na kuwa na mapya(update 2.JE UKITAKA KUOMBA VYUO UNAAMBATANISHA MATOKEO YOTE? Zamani na new? Naomba msaada wenu.