Umerudi kijijini umemkuta yule dogo uliemuacha sekondari 2017 kakuzidi, Tafadhali baki kijijini omba Ramani, Mjini waweza kuzeekea kwenye ghetto

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Wacha nikwambie ukweli na ninakuomba usome even if it pains

Imagine upo kwenye jiji kwa miaka 7 bila kwenda kijijini kwenu
  • unachomiliki ni simu refurbished imejaa memes za Kasongo
  • Sehemu unayoishi umepanga
  • hujaoa - umekuwa play boy sugu
  • Huna mtoto na kama yupo hajulikani kwenu
  • Huna Nyumba wala kiwanja wala shamba
  • kipato kinaishia kwenye rent, chakula, kuhonga, usafiri, “waiter lete kama tulivyo nitalipa”, n.k.

Umeamua kurudi after 7 years unamkuta yule dogo uliemuacha yupo form 4 kipindi hicho akiwa
  • Ana mji wake, kajenga nyumba yake vyumba vitatu
  • nyumbani anakukaribisha unamkuta mke wake anawaandalia msosi
  • Ana watoto wake wawili
  • anakuonyesha ng’ombe wake wa maziwa na shamba hekari 3
  • Nje kuna pikipiki ya mizunguko
Please baki kijijini omba ramani, Sio lazima kuishi Mjini, waweza kugeuka kuwa mtumwa wa kutajirisha wenye nyumba zao.
 
Wacha nikwambie ukweli na ninakuomba usome even if it pains

Imagine upo DSM kwa miaka 7 bila kwenda kijijini kwenu

  • unachomiliki ni Iphone 13 refurbished iliyojaa memes za Kasongo
  • huna nyumba yako, kila mwezi umlime baba mwenye nyumba
  • hujaoa au unaishi na mwanamke asie mke wako
  • Huna mtoto na kama yupo hajulikani kwenu
  • Huna kiwanja wala shamba
  • mshahara unaoishia wote kwenye rent, chakula , usafiri, “waiter lete venye tulivyo nitalipa”, n.k.

umeamua kurudi after 7 years unamkuta yule dogo uliemuacha yupo form 4 kipindi hicho akiwa

  • Ana mji wake, kajenga nyumba yake vyumba vitatu
  • nyumbani anakukaribisha unamkuta wife wake anawaandalia msosi
  • anawaita watoto wake wawili waje kukusalimia mjomba
  • anakuonyesha ng’ombe wake wa maziwa na shamba hekari 3
Please baki kijijini omba ramani, Mjini waweza kugeuka kuwa mtumwa wa kutajirisha wenye nyumba zao.
Hizo ng'ombe zote thamani yake Iphone 13. Sasa ananizidi nini?
 
Sasa mkuu mtu anakwambia kuishi daslam Ata kama huna hela wewe tiyari una degree! Wanasema ni bora maskini aliye daslam kuliko mtu anayemiliki IST afu anaish mkoani kwamba wa daslam anaonekana ndo mwanaume na mpambanaji
 
Nilienda bush nikakuta dogo ana mji wake, watoto wawili, pikipiki 1 na ekari 7 wilaya ya Handeni.
Nilipofika nikakabidhiwa ekari 8 kwa ajili ya kilimo maana sikuwa nimefika tangu 2016.
Sutaongelea maisha yangu mjini maana technically kanipiga gap.
 
Nilivyoenda Dar Es Salaam miaka ile ya Kandolo nikakuta wana wengi wa PENSULA TOWN waliotangulia miaka kadhaa kuingia jijini hapo wanaisha maisha ya ombaomba niliamua kurejea nyumbani.

Miaka miwili yote mtu anakuja kukomba chakula akale na,akija kukutembelea eti umpatie nauli ya kurudia alikotoka wakati siyo mwanafunzi?
Ukimuambia arudi nyumbani anakuambia labda mmchangie nauli kwani hawezi kupata 30K ?

Waliniudhi sana!
 
Hakuna MTU ambaye hapendi kuishi Dar ni vile tu MTU anakuwa hana option nyingine.

But DSM is the land of opportunity
Ni kweli ni land of oppurtunities lakini sio wote hufaidika nazo. kuna wengine hawana connection, capital, elimu, skills, n.k.

Kama unaweza kufaidika kwa oppurtunities za kijijini na connection zipo ni vema ubaki village
 
Wacha nikwambie ukweli na ninakuomba usome even if it pains

Imagine upo kwenye jiji kwa miaka 7 bila kwenda kijijini kwenu
  • unachomiliki ni simu refurbished imejaa memes za Kasongo
  • Sehemu unayoishi umepanga
  • hujaoa - umekuwa play boy sugu
  • Huna mtoto na kama yupo hajulikani kwenu
  • Huna Nyumba wala kiwanja wala shamba
  • kipato kinaishia kwenye rent, chakula, kuhonga, usafiri, “waiter lete kama tulivyo nitalipa”, n.k.

Umeamua kurudi after 7 years unamkuta yule dogo uliemuacha yupo form 4 kipindi hicho akiwa
  • Ana mji wake, kajenga nyumba yake vyumba vitatu
  • nyumbani anakukaribisha unamkuta mke wake anawaandalia msosi
  • anawaita watoto wake wawili waje kukusalimia mjomba
  • anakuonyesha ng’ombe wake wa maziwa na shamba hekari 3
  • Nje kuna pikipiki ya mizunguko
Please baki kijijini omba ramani, Sio lazima kuishi Mjini, waweza kugeuka kuwa mtumwa wa kutajirisha wenye nyumba zao.
Tusitishane kila mtu anawakati na muda wake wa kufanikiwa, Kuna watu wamefanya kazi miaka 10 pasipokumiliki chochote lakini wametoboa kimaisha wakiwa mwaka wa 15 kazini. Mfano, baba Levo kafanikiwa baada ya miaka mingapi ya usanii?
 
Hakuna MTU ambaye hapendi kuishi Dar ni vile tu MTU anakuwa hana option nyingine.

But DSM is the land of opportunity
Labda kwa ajili ya kutafuta..
Ila ndio mtu ushiajipata uache kukaa zako kwenye hewa safi kama kwenu kule Kashura jioni unawasha gari mpaka beach kula sato (aliyevuliwa nusu saa iliyopita) na ndizi choma na biere mbili tatu..
 
Tusitishane kila mtu anawakati na muda wake wa kufanikiwa, Kuna watu wamefanya kazi miaka 10 pasipokumiliki chochote lakini wametoboa kimaisha wakiwa mwaka wa 15 kazini. Mfano, baba Levo kafanikiwa baada ya miaka mingapi ya usanii?
Huu mfano usitutolee wanaume kusifia wanaume ili wakupe fedha🥶mambo ya fedheha
 
Mwanangu kuna mitaa ukipita dsm inanuka kisenge mfano riverside, buguruni🥶Dah mwanangu sio poa
 
Huko ndio nilipozaliwa ila baada ya kuzunguka TZ yote nimegundua kuna maeneo watu wanaenjoy sana (uwe na hela lakini..)
 
Tusitishane kila mtu anawakati na muda wake wa kufanikiwa, Kuna watu wamefanya kazi miaka 10 pasipokumiliki chochote lakini wametoboa kimaisha wakiwa mwaka wa 15 kazini. Mfano, baba Levo kafanikiwa baada ya miaka mingapi ya usanii?

Huu mfano usitutolee wanaume kusifia wanaume ili wakupe fedha🥶mambo ya fedheha
BABA LEVO - KWA WEMA ALIONITENDEA Diamond Platnumz KAMA Ningekuwa Demu Ningemzalia Watoto WATATU

1735504054931.png
 
Back
Top Bottom