Umerudi kijijini umemkuta yule dogo uliemuacha sekondari 2017 kakuzidi, Tafadhali baki kijijini omba Ramani, Mjini waweza kuzeekea kwenye ghetto

Umerudi kijijini umemkuta yule dogo uliemuacha sekondari 2017 kakuzidi, Tafadhali baki kijijini omba Ramani, Mjini waweza kuzeekea kwenye ghetto

Wacha nikwambie ukweli na ninakuomba usome even if it pains

Imagine upo kwenye jiji kwa miaka 7 bila kwenda kijijini kwenu
  • unachomiliki ni simu refurbished imejaa memes za Kasongo
  • Sehemu unayoishi umepanga
  • hujaoa - umekuwa play boy sugu
  • Huna mtoto na kama yupo hajulikani kwenu
  • Huna Nyumba wala kiwanja wala shamba
  • kipato kinaishia kwenye rent, chakula, kuhonga, usafiri, “waiter lete kama tulivyo nitalipa”, n.k.

Umeamua kurudi after 7 years unamkuta yule dogo uliemuacha yupo form 4 kipindi hicho akiwa
  • Ana mji wake, kajenga nyumba yake vyumba vitatu
  • nyumbani anakukaribisha unamkuta mke wake anawaandalia msosi
  • Ana watoto wake wawili
  • anakuonyesha ng’ombe wake wa maziwa na shamba hekari 3
  • Nje kuna pikipiki ya mizunguko
Please baki kijijini omba ramani, Sio lazima kuishi Mjini, waweza kugeuka kuwa mtumwa wa kutajirisha wenye nyumba zao.
Ukweli mchungu. Dar kama huna hela utabaki kuwa kijakazi tu hadi unazikwa na mateso juu
 
Tumia elimu yako hata kidogo itakusaidia, Hata wanaobeti wapo waliotajirika.
Kwen
Ukipata hela Dsm kama huwezi kuumiza sana kichwa mambo ya biashara, Rudi mkoani, Jenga nyumba, Nunua shamba, anza kilimo,
Sasa mkuu mwanangu huku vitu vyote vizuri vipo huku
Ukipata hela Dsm kama huwezi kuumiza sana kichwa mambo ya biashara, Rudi mkoani, Jenga nyumba, Nunua shamba, anza kilimo,
 
Back
Top Bottom