Umerudi kijijini umemkuta yule dogo uliemuacha sekondari 2017 kakuzidi, Tafadhali baki kijijini omba Ramani, Mjini waweza kuzeekea kwenye ghetto

Ukweli mchungu. Dar kama huna hela utabaki kuwa kijakazi tu hadi unazikwa na mateso juu
 
Tumia elimu yako hata kidogo itakusaidia, Hata wanaobeti wapo waliotajirika.
Kwen
Ukipata hela Dsm kama huwezi kuumiza sana kichwa mambo ya biashara, Rudi mkoani, Jenga nyumba, Nunua shamba, anza kilimo,
Sasa mkuu mwanangu huku vitu vyote vizuri vipo huku
Ukipata hela Dsm kama huwezi kuumiza sana kichwa mambo ya biashara, Rudi mkoani, Jenga nyumba, Nunua shamba, anza kilimo,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…