Umesave vipi namba ya mchepuko wako??!Mi namewasave hivi nisikamatwe;

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,231
Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wanaume hatuna mwanamke mmoja kuna yule "mtakuja" hata uende wapi jioni utarudi utamkuta alafu kuna vipoozeo sasa,
Kuna njia kibao nimasave michepuko kiujanja kitu kinachonifanya hata nikimuachia simu mama yao sina hofu na style izo n hizi;

Wakwanza nimemsave-(Huduma kwa wateja)

Mwingine nimemsave-100 huyu anakujaga bila taarifa

Mwingine nimemsave -M PESA na mwingine TIGO PESA hawa ni wapenda hela

Na mwingine nimemsave Magu huyu anakuja kwa kushtukiza

Kuna wengine newasave BIKO

Kuna mwingine nimemsave Voda Taarifa

Hivyo hata nikiwa na main road hata sms ikiingia sina wasiwasi utaona ananipa simu anasema Tigo awoo wanakusumbua.

Wewe unasavuje michepuko yako main chick asikudake??!Itakua poa na ukitoa maana yake
 
strimika - huyu hanaga makuu nikihitaji tu napata
 
Mi nimesevu X-ray
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…