kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Nini[emoji41]🙂🙄😀😱
😉Nini[emoji41]
Ntakula hivyo vimkonyezo vyako ee?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ntakula hivyo vimkonyezo vyako ee?
Umekumbula yule mdada,,unanitumia vikopa kopa mim ntakula vikopa vikopa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
how much do u wantNtakula hivyo vimkonyezo vyako ee?
Mtafute na Tatu MzukaUkweli ni kwamba asilimia kubwa ya wanaume hatuna mwanamke mmoja kuna yule "mtakuja" hata uende wapi jioni utarudi utamkuta alafu kuna vipoozeo sasa,
Kuna njia kibao nimasave michepuko kiujanja kitu kinachonifanya hata nikimuachia simu mama yao sina hofu na style izo n hizi;
Wakwanza nimemsave-(Huduma kwa wateja)
Mwingine nimemsave-100 huyu anakujaga bila taarifa
Mwingine nimemsave -M PESA na mwingine TIGO PESA hawa ni wapenda hela
Na mwingine nimemsave Magu huyu anakuja kwa kushtukiza
Kuna wengine newasave BIKO
Kuna mwingine nimemsave Voda Taarifa
Hivyo hata nikiwa na main road hata sms ikiingia sina wasiwasi utaona ananipa simu anasema Tigo awoo wanakusumbua.
Wewe unasavuje michepuko yako main chick asikudake??!Itakua poa na ukitoa maana yake
Tuma uonacho,nipime hapa huyu bahili au la ndio ntajuahow much do u want
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndiooUmekumbula yule mdada,,unanitumia vikopa kopa mim ntakula vikopa vikopa?
Hahahahah hii kibokoKuna jamaa alikua amesave mlinzi site, yeye alikua anafanyakazi kampuni ya minara. Kuna siku anaoga akasikia wife anaita....walinzi wako wameshaanza kusumbua huku.
sasa nitume hapa kwenye page ya jf au unataka uweke namba yako hapa jf ndo nikutumie 🙁Tuma uonacho,nipime hapa huyu bahili au la ndio ntajua
Usijifanye hapa,unajua kila kitusasa nitume hapa kwenye page ya jf au unataka uweke namba yako hapa jf ndo nikutumie 🙁
Najua kila kitu hadi namba yako au, Naomba uniwekee namba yako ya MPESA hapa, niweke hapa nita save kwenye simu yangu.Usijifanye hapa,unajua kila kitu