Umesave vipi namba ya mchepuko wako??!Mi namewasave hivi nisikamatwe;

Umesave vipi namba ya mchepuko wako??!Mi namewasave hivi nisikamatwe;

Ukweli ni kwamba asilimia kubwa ya wanaume hatuna mwanamke mmoja kuna yule "mtakuja" hata uende wapi jioni utarudi utamkuta alafu kuna vipoozeo sasa,
Kuna njia kibao nimasave michepuko kiujanja kitu kinachonifanya hata nikimuachia simu mama yao sina hofu na style izo n hizi;

Wakwanza nimemsave-(Huduma kwa wateja)

Mwingine nimemsave-100 huyu anakujaga bila taarifa

Mwingine nimemsave -M PESA na mwingine TIGO PESA hawa ni wapenda hela

Na mwingine nimemsave Magu huyu anakuja kwa kushtukiza

Kuna wengine newasave BIKO

Kuna mwingine nimemsave Voda Taarifa

Hivyo hata nikiwa na main road hata sms ikiingia sina wasiwasi utaona ananipa simu anasema Tigo awoo wanakusumbua.

Wewe unasavuje michepuko yako main chick asikudake??!Itakua poa na ukitoa maana yake
Mtafute na Tatu Mzuka
 
Chelsea
Liverpool
Ronaldo
Zidane
Clouds
Azam two
ACT- kada
ITV promo
Simba damu
Jamvini

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo utasikia na ww haya mambo yako ya mpira kila muda, yaani hata unaoga wanasumbua
Sijui hii simba damu wanatuma matokeo ya mechi hapa
Text kibao zinaingia
Afu unajibu dah!! Kumbe bado moja moja na yanga[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Back
Top Bottom