Umesave vipi namba ya mchepuko wako??!Mi namewasave hivi nisikamatwe;

Labda mkeo hajui kusoma tyu
Au mkeo anakuchukulia timing one day utalia

Nitumie no ya mkeo nimfundishe how to deal with you
 
We noma
 
Toka siku nilipo m-save kwa jina la Afande J.
Kibiti ukaguzi wa simu yangu kapunguza
 
Taabu yote ya nini?
Ujue nimekusave fundi rejeta![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Ujue nimekusave fundi rejeta![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Nakuja kufix hiyo rejeta sasa hivi
 
Hahaha, yaani wewe hata kuchepuka lazma umeacha. Pakaa grisi mkuu, inapunguza maumivu ya vyuma kukaza.

Nimecheka kweli kweli

Samahan kwa kutoka nje ya mada wakuu,kuuliza sio ujinga
hv zile kura tulizopiga 2010 walitumia vidole kuhesabu au calculator?

Sio kwa vyuma hv asee.
 
Siku Mosha atatuma msg hazioni siku zake utakamatika tu.

Yaani kuchepuka ni kazi ya ziada, inabidi tukikuta mume anachepuka tumpe pole tu kwa mahangaiko
Mie nilikuwa nawaandika sir name yani kama jane Michael Mosha

Nasave mosha tu...hapa sikamatik hata waje FBI
 
Fundi nyumba
Fundi choo
Fundi grili
Fundi magari
Fundi shamba
 
Mi hua nawasave kinyume,kwa mfano JULI=LIJU,..au pendo=ndope,..so hapo had akil imkae sawa sio leo,tehtehteh,
 
Kamwe siandiki jina lake
Nakariri namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…