Umeshaisikiliza 'Shika adabu yako' ya Ney wa Mitego?

Ni wimbo mzur,nimeuskiliza wote,na mtambue kuwa stail ile ndo inayombeba Ney
 

Ni maamuzi tu baina ya familia husika,
Sio kila mzazi anapenda kuishi mbali na mwanae.
 
Sasa shida ya huu wimbo uko wapi??? Kuna mahali jamaa kaimba uongo??? Mbona Zile nyimbo zake za Nyuma zilikua na ukakasi kuliko hii na hawakufungia?? Au kisa kataja BASATA, MAGU na Hapa kazi tu??
Haija fungiwa mkuu ni propaganda tu za kwenye social media ngoma bado inapata airtym ya kutosha redio station zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…