CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Kifo kipo tu na hatupaswi kuogopa na kinachotakiwa ni kujiandaa na hicho kifo.
Je ushawahi kuwaza au kujiuliza kwamba Huo mradi wako/biashara yako siku haupo duniani itakuwaje? Itasurvive kwa muda gani baada ya wewe kuwa haupo?
Siku 1 fanya zoezi 1 ni gumu kidogo.
Kwenye project yako ulionayo yoyote ile, jaribu kupotea hata wiki mbili au tatu. Usipige simu wala nini wala kuulizia chochote kile kuhusu biashara yako.
Badaa ya hizo wiki mbili ibuka na nenda kwenye project yako sasa. Utakachokutana nacho ndio picha ya project yako itakavyo kuwa wiki mbili tu baada ya wewe kuwa haupo duniani.
Huwezi amini kama ni ya kuku unaweza kuta nusu wamekufa au kama ni duka utakutana na loss ya hatari au utakutana na sabotage ya kutisha kwenye project yako.
Kikubwa ni kuandaa warithi au wasimamizi mapema sana. Kama ni watoto au mke au mume basi aandaliwe mapema sana.