Sometimes dini ni biashara mzee ngoja sisi tukomae na hivi vi kazi kazi VYA hapa na paleNilishawahi ishi na jamaa wa ivyo wa 3, sasa hivi kila mmoja anakanisa lake mmoja Kanisa lake lipo Dodoma, mengine Geita na mwengine Kampala Uganda
Mwenyewe nitafungua kanisa soon nakusanya mtaji.Sometimes dini ni biashara mzee ngoja sisi tukomae na hivi vi kazi kazi VYA hapa na pale
Nomaa sana 🤣, kwamba mwamposa ni guru kwenye hii gameSema soko kimeisha tekwa na akina mwamposa
Semw wengi huwa wana bright futureNilishaishi nae mwanangu Emma hostel ,alfajiri 11 tayari anaanza kumwaga moto picha linaanza anaanza kwanza kuliombea Taifa-Raisi-Mawaziri-Wabunge mwisho anamalizia kuniombea mimi hiyo inaelekea saa moja na kitu.Na hayo maombi ni anatembea mwanzo wa chumba mpaka mwisho na kurudi.Kwenye misosi alikuwa hana nomaa.
Yuko vizuri sana ana matumizi mazuri na sahihi ya fedha yake.Semw wengi huwa wana bright future
Riziki ipo miguuni kwa mtuSema soko kimeisha tekwa na akina mwamposa