Barca
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,629
- 1,960
Nimeishi naye jamaa mlokole. Nikiwa std 7 yeye alikuwa form 1. Hawa jamaa wanafiki sana. Na wachoyo. Tunalala kitanda kimoja ila anapika chakula anakula pekee yake. Ni heri uishi na mlevi atakuletea Hata Nyama choma. Pia nimeishi nao nikiwa chuo kikuu. Hawa jamaa wachoyo, wabaguzi. Yaani wanawaona Nyie wengine watenda dhambi hamstahili kuishi. In short watu wenye imani kali ni wanafiki tu. Wamechangia sana kuona dini hazina maana, dini ni utapeli.Heri ya sikukuu za mwisho wananchi wa jamhuri ya muungano wa jamiiforums😳😳😳😳😳😳😳😳😳. Povu ruksa..
Je, umewahi kuishi na rafiki au ndugu mcha Mungu hatari…
Wale wa maombi , full package? 😅
Asubuhi anakuamsha kwa maombi,
mchana mnapambanaji na maisha,
Usiku wakati wa kulala anakulaza na sala nzito.... 😂
Type experience Yako mzee/bibi. Maana uzee unaanzia miaka 30 coz sura zinajikunyata kama kirikuu. 😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎😎