Heri ya sikukuu za mwisho wananchi wa jamhuri ya muungano wa jamiiforumsπ³π³π³π³π³π³π³π³π³. Povu ruksa..
Je, umewahi kuishi na rafiki au ndugu mcha Mungu hatariβ¦
Wale wa maombi , full package? π
Asubuhi anakuamsha kwa maombi,
mchana mnapambanaji na maisha,
Usiku wakati wa kulala anakulaza na sala nzito.... π
Type experience Yako mzee/bibi. Maana uzee unaanzia miaka 30 coz sura zinajikunyata kama kirikuu. πππππππππππ