UMESHAWAHI JARIBU Hii?

UMESHAWAHI JARIBU Hii?

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,229
UMESHAWAHI JARIBU Hii?

[emoji117]Mchukue chura Muweke kwenye chombo then anza kuchemsha maji akiwemo na chura ndani yake..
kadri temperature inavyo ongezeka chura nae huwa ana increase temperature ya mwili wake.

Pindi inapokaribia kufika100º chura atashindwa kuongeza temperature ktk mwili wake na hapo ndipo atataka kutoka ktk maji hayo yanayochemka

Kutokana na kutumia nguvu nyingi sana ktk kuongeza temperature ktk mwili wake,pindi anapotaka kuruka atashindwa na atakufa humo ndani ya chombo cha maji yanayochemka.

SWALI;

NINI KIMEMUUA CHURA?
Najua utaniambia ni maji ya moto...
La hashaa.!
kilichomuua chura ni kushindwa kufanya maamuzi mapema ya kutoka katika chombo cha maji yanayo
chemka hali ya kuwa bado nguvu anazo..

FUNZO
Fanya maamuzi sahihi sasa kabla nguvu za kutaka kufanya changes hazijakuishia kama yaliyomkuta chura..
NOTE;
Kuvumilia jambo usiloliweza ni sifa ya punda.
BADILIKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom