Wood Stone
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 647
- 1,012
Kwanini huwa mnawakubalia mwanaume ambaye humpendi? Huwa mnategemea nini baadae yaani utakuja ubadilike uanze kumpenda au? Umekutana na mwanaume ambaye humpendi, amekuomba namba, umempa, umetongozwa umekubali.jamaa alinikuwa ananifukuzia, honestly, sikuwa attracted nae kabisaaa yani hata tone. Ila siku aliniambia, "nina wivu sana, siku nikijua ume cheat ntajichoma kisu", nikabaki enh red flag hii, ndio ikawa sababu kutomtilia maanani kabisa. Jamaa kaoa sasa, ila ndio ugomvi kila kukicha.
Kwanini huwa mnawakubalia mwanaume ambaye humpendi? Huwa mnategemea nini baadae yaani utakuja ubadilike uanze kumpenda au? Umekutana na mwanaume ambaye humpendi, amekuomba namba, umempa, umetongozwa umekubali.
Kubwa zaidi atatoa hata papuchi ili apate anachokitakamwanamke omba omba hafai kuwa mke
hapo ndio una familia then baba umeumwa kitandani hoiii
huku nyuma mwanamke wa ivyo si ataomba ndugu ukoo mzima
Tuache masihara. Mdada mzuri sana nilipata mwenzenu mji kasoro bahari.
Tatizo ana kidude cha kati kubwa km mkuyenge. Na tukifanya anamwaga zile nziitooo! Km mwanaume. Mambo yake ni misuri misuri tu. Anaweza kmata ndama mkubwa tu kwa mkono mmoja. Yuko tayari kuzichapa na mimi km nik muudhi. Ana history za kupigana na kaka zake
Akikamua ngombe anazuia kwa mikono. Hafungi ndama.
Niliondoka bila kuaga
duuhWatu Mungu mnampenda kumbe ila kwa nini amri zake hamfuati? Back to topic, unaweza kumwacha mtu kwa kuwa eti hamtofika mbali kumbe yeye hana mpango wa kwenda huko mbali kwa hiyo ni vema ukaendelea kujiburudisha tu
hahahaha k matata kweli kweliSilence kills it silently and diplomatically, no arguments no explanation nothing and there won't be ever...
Chapter closed, another one is opened...
Aluta Continual....
K' Matata.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] , v... La hela yotee, nimecheka sanaaHehehe duh me kuna mwana nlimwacha yaan alikua vzuri tu lkn alikua akisema kitu hatekelezi swala dogo tu LA kunyoa Nywele na ndevu na kubet vlikua shida kuoga ndo kabisaaa...nkaona isiwe shida nkamwacha for good....
Kuna mwamba mwingine yeye haoni shida kutoa hewa ya ukaa (kujamba) na shuzi Lina nuka kwelikweli mwamba mchafu kinoma kuoga ishu mswaki ishu geto hapafai...vuzi LA ela yote ukimwambia ndo kwanzaaa anakuona kama katuni nkaona isiwe tabu nkamwacha for good.....
Vipi mkuuduuh
binti kiziwi embu nisimulie mkasa wako mpendwa
Kumbe umeweka tayari ngoja nifanye kusoma..Upi kati ya hiyo miwili?
Aise kwa hiyo unapenda mwanaume anaeongea kama cherehani, mnapoona tupo kimya mjue tunawaza ni kwa namna gani tutapata pesa ili mfurahie maisha..He was control freak and possesive. Nilimvumilia weee, i was naive to understand ninini kupendwa na ninini kunyanyaswa, nilivyoelewa nikajichomoa kwa mbinde sana.
Mwingine alikuwa haongei kabisa na mimi, anasema neno moja au mawili anakaa kimya mnaweza kaa kimya siku nzima, Cha ajabu mkiwa mbali mbali anakuchatisha balaa, ukimfuma na washkaji zake anaongea kama redio. Mi siwezi kukaa na mtu asiyeongea, naboreka sana.
Kumbe umeweka tayari ngoja nifanye kusoma..
Bado hakuwa sahihi vile vileMi nilikuaga na huyo babe yaani yeye ana priorities zake, Mimi sipo kabisaa kwenye ratiba zake,ukimpigia simu he's busy always yani, mpaka akutafute yeye
Sasa iloniboa ni hii, ilikua graduation yake chuo, sasa mama watoto huku nimejiandaa na kijizawadi nini , nimefika Kwa graduation ni busy busy tuu, nikaishia kumpa zawadi faster, sijaoneshwa ndugu yake yeyote,afu ananambia kuna sehemu tumeandaa party tunaenda na washkaji see youu, kha nikaona mmh hii Gari haifiki popotee, ila nimekumbuka huenda ni hii bad looking., na nakumbuka nilivyokua nimevaa mshamba first year student mimi,naona alihisi atachekwa na wenzie tu[emoji3] [emoji3] simlaumu sanaa.
Umenikumbusha mbali sana, kuna jamaa yangu tulikuwa nae kwenye harusi alimchana demu wake laivu kuwa hakupaswa kuwa pale maana alivaa kipori pori..Mi nilikuaga na huyo babe yaani yeye ana priorities zake, Mimi sipo kabisaa kwenye ratiba zake,ukimpigia simu he's busy always yani, mpaka akutafute yeye
Sasa iloniboa ni hii, ilikua graduation yake chuo, sasa mama watoto huku nimejiandaa na kijizawadi nini , nimefika Kwa graduation ni busy busy tuu, nikaishia kumpa zawadi faster, sijaoneshwa ndugu yake yeyote,afu ananambia kuna sehemu tumeandaa party tunaenda na washkaji see youu, kha nikaona mmh hii Gari haifiki popotee, ila nimekumbuka huenda ni hii bad looking., na nakumbuka nilivyokua nimevaa mshamba first year student mimi,naona alihisi atachekwa na wenzie tu[emoji3] [emoji3] simlaumu sanaa.