Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Hapa tunakuongelea wewe, tuko kundi moja una uhakika?
sina uhakika ndio mana nasema "yawezekana nimekuzidi"

maana naona michango yako na majibu yako kwa watu tofauti "kuhusu imani yako"

and how you believe so nikisema tuko sawa au nimekuzidi "ujue namaanisha"

nikirudi kwako "wewe ni VUGU VUGU" nimeandika neno VUGU VUGU kwa herufi kubwa

sijachanganya herufi ndogo,nikimaanisha ninachokiandika so acha leo nikwambie kwakua umejileta

Badilika choose either kuwa baridi au moto and stand for it. Acha kugusa huku na kule.
 
Ahsante mkuu
 
Hata kama ulikuwa nazo una tune akili yako kuzika hisia zilizokuwepo juu yake sababu zimekosa uhai

Unatafuta sehemu nyingine then unahamishia hisia zako huko for Good ( don’t let your feeling stop you from seeing the reality).
Good for you!
 
Mimi jamani nimizinga tu yabila kichwa wala miguu, Demu kupenda maisha makubwa kwaharaka ambayo hata wazazi wake mpaka wamezeeka hawajayafikia. Mademu kama hao ishaachana nao wengi kinyamaaa
 
Lazma wapige mizinga kwa sababu maisha yamebadilika sana tofauti na maisha waliyo pitia wazaz wetu, wazaz wetu zamani walikuwa hawa anzi maisha ya kujitegemea kabla ya kuolewa, wote tunaona lala miaka umu hakuna hata mmoja wetu ambaye mama alianza maisha ya kujitegemea aka panga chumba! Wazaz wetu wote wameolewa wakiwa chini ya ungalizi wa wazazi wao, ndiyo mahana mama zetu hawana tamaa za kumkimbia mume mfano mume hakiwa mgonjwa hata muhudumia awezi kumkimbia.
 
Sijakaa mizinga ila nimesemea mizinga isio nakichwa Wala miguu
 
Nilikua na huyo mmoja anachamba balaa ,anagubu huyo alafu Malaya na bado ananichamba kua nimvumilie eti Kama mahusiano nashindwa mvumilia kwenye ndoa nitaweza changamoto .... Nikaona chakufia nini nilitoka mbio nikasema hata kama ni ndoa bora nibaki single tu...

Mwingine sasa ni mbinafsi alafu anawivu kila kitu anataka akukague ...anataka kutwa nzima muwe mnachat tuu alafu simu akupigie hadi usiku wa manane .....limwanaume nilichoyo balaa nayeye mapemaaa nikasepa kabla hatujafika mbali
 
unakaumalaya kwa mbali.
 
jamaa alinikuwa ananifukuzia, honestly, sikuwa attracted nae kabisaaa yani hata tone. Ila siku aliniambia, "nina wivu sana, siku nikijua ume cheat ntajichoma kisu", nikabaki enh red flag hii, ndio ikawa sababu kutomtilia maanani kabisa. Jamaa kaoa sasa, ila ndio ugomvi kila kukicha.
 
Back
Top Bottom