Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mama yangu wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]It's SweetieLee mdogo wangu!
Nimekosea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama yangu wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]It's SweetieLee mdogo wangu!
sina uhakika ndio mana nasema "yawezekana nimekuzidi"Hapa tunakuongelea wewe, tuko kundi moja una uhakika?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sifa ya wapole wengi ni "viburi"
naomba usiwe hivyo tu.
Nipe madini sasa nikatupie..!!aibu ya nini?
🤣 🤣 🤣
Hauna hisia nae tena? Haujihisi kama bado unampenda?
Ahsante mkuusina uhakika ndio mana nasema "yawezekana nimekuzidi"
maana naona michango yako na majibu yako kwa watu tofauti "kuhusu imani yako"
and how you believe so nikisema tuko sawa au nimekuzidi "ujue namaanisha"
nikirudi kwako "wewe ni VUGU VUGU" nimeandika neno VUGU VUGU kwa herufi kubwa
sijachanganya herufi ndogo,nikimaanisha ninachokiandika so acha leo nikwambie kwakua umejileta
Badilika choose either kuwa baridi au moto and stand for it. Acha kugusa huku na kule.
Sawa mpenziMimi na wewe tutafika mbali sana mpenzi
Good for you!Hata kama ulikuwa nazo una tune akili yako kuzika hisia zilizokuwepo juu yake sababu zimekosa uhai
Unatafuta sehemu nyingine then unahamishia hisia zako huko for Good ( don’t let your feeling stop you from seeing the reality).
Neno my dearSasa kama umeamua kutozifuata si uachane na hizo habari uwe baridi kabisa kuliko kuwa vuguvugu
Lazma wapige mizinga kwa sababu maisha yamebadilika sana tofauti na maisha waliyo pitia wazaz wetu, wazaz wetu zamani walikuwa hawa anzi maisha ya kujitegemea kabla ya kuolewa, wote tunaona lala miaka umu hakuna hata mmoja wetu ambaye mama alianza maisha ya kujitegemea aka panga chumba! Wazaz wetu wote wameolewa wakiwa chini ya ungalizi wa wazazi wao, ndiyo mahana mama zetu hawana tamaa za kumkimbia mume mfano mume hakiwa mgonjwa hata muhudumia awezi kumkimbia.Mimi jamani nimizinga tu yabila kichwa wala miguu, Demu kupenda maisha makubwa kwaharaka ambayo hata wazazi wake mpaka wamezeeka hawajayafikia. Mademu kama hao ishaachana nao wengi kinyamaaa
Hahahaaa ni mkali uuwiiiiBora utambe tukiwa tunaongea kwenye simu tuu
ila tukiwa live ukinijibu hivyo "unalo" usiponijibu "unalo"
nataka majibu sahihi tena yajibiwe kwa adabu na sauti nyororoooo
Sijakaa mizinga ila nimesemea mizinga isio nakichwa Wala miguuLazma wapige mizinga kwa sababu maisha yamebadilika sana tofauti na maisha waliyo pitia wazaz wetu, wazaz wetu zamani walikuwa hawa anzi maisha ya kujitegemea kabla ya kuolewa, wote tunaona lala miaka umu hakuna hata mmoja wetu ambaye mama alianza maisha ya kujitegemea aka panga chumba! Wazaz wetu wote wameolewa wakiwa chini ya ungalizi wa wazazi wao, ndiyo mahana mama zetu hawana tamaa za kumkimbia mume mfano mume hakiwa mgonjwa hata muhudumia awezi kumkimbia.
unakaumalaya kwa mbali.Nilikua na huyo mmoja anachamba balaa ,anagubu huyo alafu Malaya na bado ananichamba kua nimvumilie eti Kama mahusiano nashindwa mvumilia kwenye ndoa nitaweza changamoto .... Nikaona chakufia nini nilitoka mbio nikasema hata kama ni ndoa bora nibaki single tu...
Mwingine sasa ni mbinafsi alafu anawivu kila kitu anataka akukague ...anataka kutwa nzima muwe mnachat tuu alafu simu akupigie hadi usiku wa manane .....limwanaume nilichoyo balaa nayeye mapemaaa nikasepa kabla hatujafika mbali