Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Poleni sana
 
Respect is earned...never granted. You've earned mine kwakweli Karena
 
ubabe wa mwanaume ulinifanya nikatishe mahusiano.

Mwingine aliomba ndogo na huo ndiyo ukawa mwisho wa mahusiano.

Ubinafsi wa yule mwanaume ulinifanya nikatishe mahusiano.
Ukiona mwanaume anakuomba ndogo ujue hakupendi 100%. Bora nibaki single milele kuliko kuoa mwanamke anayetoa ndogo

1 Wakorintho 6
...Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Biblia imetumia maneno makali.
 
Nikiwa shule ya msingi shirimatunda darasa la sita nilimshuhudia baba wa classmate wangu akipigwa na mkewe kipigo kama chote mpaka mama akatosheka. Mwaka huohuo nikamshuhudia mama family friend wetu akimtukana tusi zito mumewe kisa hana kazi. Basi kukawa na matukio mengi ya aina hiyo ya udhalilishaji kwa wababa ninaowafahamu.
Basi nikaamua kumuomba Mungu mke mwema nikampa na vigezo vyangu kama ifuatafyo
1)Awe yatima 2)mcha Mungu, 3)mweupe 4) atoke ktk familia masikini au isiyozidi yetu uwezo. Haya yalikuwa maombi yangu tangu shule ya msingi sekondary na mpaka umuri wa kuoa.
Nikampata mrembo umuri ulipokuwa sahihi tukapendana mno ila kigezo namba 4 kilikataa, tukaachana bila purukushani yoyote. Ameolewa na ana watoto watatu hadi leo tunawasiliana hatuna bifu, huwa ananiuliza nini kilitokea sijawahi kumwambia maana nadhiri ya mtu ni siri yake.
Nilikuja kupata mke wa vigezo vyote ila kigezo namba 1 kilikamilika tukiwa wachumba kwa mchumba wangu kufiwa na babake, mama alishatangulia mbele ya haki kitambo. Roho za marehemu zipate rehema kwa Mungu zipumzike kwa amani amina.
 
Biblia imetumia maneno makali.
Siyo maneno makali kwa mtu ambaye siyo mtenda dhambi. Ila kwa mtenda dhambi ndiyo maneno makali yaani anaona kama ametukanwa. Umeambiwa "msidanganyike" maana yake hatatoka mtu wa kuwapa maneno mazuri ili ujione wewe siyo mtenda dhambi. Huo ndiyo kweli.
Sasa hivi mwanamke akiambiwa ni mdangaji anaona kawaida kumbe udangaji ni sawa na ukahaba. Ukumbuke Biblia takatifu haipo kwa ajili ya kumuonea aibu mtenda dhambi
 
Un
Sikia kwenye swala LA MTU kusali inategemea na malezi aliyopitia sasa ww ndio unatakiwa umfundishe jinsi ya kusali na kusoma neno.
 
Nilimaanisha maneno makali Kama "wafurahi" na "walawiti".
 
Wewe huwa hautendi dhambi ?
 
Un

Sikia kwenye swala LA MTU kusali inategemea na malezi aliyopitia sasa ww ndio unatakiwa umfundishe jinsi ya kusali na kusoma neno.
Mke au mume mwema anatoka kwa Bwana. Mungu gani anayempa mwanamke au mwanaume mume au mke asiyejua kusali? Kumuabudu Mungu katika kweli ndiyo msingi imara wa ndoa kwasababu kila kitu mnamtanguliza Mungu na wote mnakuwa na hofu ya kutenda dhambi.
 
Ngoja nitoe story tofauti kidogo. Nilishawahi kuwa na manzi mmoja hivi mdogo mdogo k wa umri na sio umbo. Beautiful kweli kweli, yani Cleopatra akasome.

Shida alikuwa anapenda ngono huyo, yaani she can't abstain for two weeks. Mnaweza fululiza wiki nzima mnagegedana tu. Sema show yake ilikuwa si mchezo, she was a naturaaal in the game.

Ikabidi nimkeep kwa matumizi ya kitandani tu, na nikamuonyesha kabisa kwamba she can't be my wife.

Hadi leo nakumbushia mara moja moja , game za level ile ni very rare, unaweza ukafa hujapata. Mabaharia nadhani mtakuwa mmeelewa.
 
Mke au mume mwema anatoka kwa Bwana. Mungu ngani anayempa mwanamke au mwanaume mume au mke asiyejua kusali? Kumuabudu Mungu katika kweli ndiyo msingi imara wa ndoa kwasababu kila kitu mnamtanguliza Mungu na wote mnakuwa na hofu ya kutenda dhambi.
Ila yesu alikuja kwa ajili ya watenda dhambi,so ww unatakiwa umbadilishe mkeo ajue kuishi katika kumpendeza Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…