unapomfundisha mtu na haelewi wewe unahisi shda nini,malezi au kiburi (hajaamua kubadilika)???Un
Sikia kwenye swala LA MTU kusali inategemea na malezi aliyopitia sasa ww ndio unatakiwa umfundishe jinsi ya kusali na kusoma neno.
Nilitaka tu kujua juu ya hilo.Natenda dhambi. Ulitaka uambiajwe?
Yani kufanya mapenzi once in two weeks ni kupenda ngono?.Ngoja nitoe story tofauti kidogo. Nilishawahi kuwa na manzi mmoja hivi mdogo mdogo k wa umri na sio umbo. Beautiful kweli kweli, yani Cleopatra akasome.
Shida alikuwa anapenda ngono huyo, hawezi kaa wiki mbili hajapigwa mashine. Mnaweza fululiza wiki nzima mnagegedana tu. Sema show yake ilikuwa si mchezo, she was a naturaaal in the game.
Ikabidi nimkeep kwa matumizi ya kitandani tu, na nikamuonyesha kabisa kwamba she can't be my wife.
Hadi leo nakumbushia mara moja moja , game za level ile ni very rare, unaweza ukafa hujapata. Mabaharia nadhani mtakuwa mmeelewa.
Aisee kumbe?? Basi kwa hili ninahitaji kutubu
Yani kufanya mapenzi once in two weeks ni kupenda ngono?.
Kwa nilivyomuelewa anasema huyo manzi alikuwa hawezi kaa week 2 bila kutafunwa na sio kwamba anafanya eti once in two weeks. Anasema alikuwa anaweza piga week nzima mfulululizo akiamini dose itatibu ugonjwa kwa muda mrefu. Ila kabla week 2 hazijapita mtu huyo tayari anataka dawa tena.Yani kufanya mapenzi once in two weeks ni kupenda ngono?.
Wengine wamezaliwa hivyoKwa nilivyomuelewa anasema huyo manzi alikuwa hawezi kaa week 2 bila kutafunwa na sio kwamba anafanya eti once in two weeks. Anasema alikuwa anaweza piga week nzima mfulululizo akiamini dose itatibu ugonjwa kwa muda mrefu. Ila kabla week 2 hazijapita mtu huyo tayari anataka dawa tena.
Kwa hiyo mtoto wa kike kupenda sana kugegedwa ni sababu ya kuwa na homoni za kiume ?Wengine wamezaliwa hivyo
Unakuta wa kike ana homoni za kiume
sio kosa lake
Tuache masihara. Mdada mzuri sana nilipata mwenzenu mji kasoro bahari.
Tatizo ana kidude cha kati kubwa km mkuyenge. Na tukifanya anamwaga zile nziitooo! Km mwanaume. Mambo yake ni misuri misuri tu. Anaweza kmata ndama mkubwa tu kwa mkono mmoja. Yuko tayari kuzichapa na mimi km nik muudhi. Ana history za kupigana na kaka zake
Akikamua ngombe anazuia kwa mikono. Hafungi ndama.
Niliondoka bila kuaga
Ndio...Hamu ya mapenzi inatokana na vichocheo ndani ya mwili...za kiume ni kali zaidiKwa hiyo mtoto wa kike kupenda sana kugegedwa ni sababu ya kuwa na homoni za kiume ?
PoleNikishawahi kutongoza kidemu flani kizur zur cha mtaani kipindi hcho nasoma chuo siku hyo kikaniambia "yaan mimi sijawah kutongozwa na mwanachuo naona kama bahati" nilimshangaa sana anyway kuna siku natoka zangu chuo napita mtaani nakiona kimekumbatiwa na mshkaji flani kama teja teja hiv nikapita ye hakuniona. Kama dk 40 hv kikaja geto nikakauliza ulikumbatiwa na nani pale..?? Kakashtuka balaa palepale nikaenda kufungua mlango bila kuongea nikamuonesha njia ya kutoka toka apo sikuwah kupokea simu wala kujibu txt ya kile kimanzi na ndo ikawa mwisho wangu kutongoza videmu vya uswahilini na vilivyokimbia shule.
kuna mademu wengine mvuto sana ukikiona tu limesimama. akisahau vuzi nje. hupati usingizi wakati unaaangalia pale. mkioga ndo kabisaaa, watu wanasahauKwa nilivyomuelewa anasema huyo manzi alikuwa hawezi kaa week 2 bila kutafunwa na sio kwamba anafanya eti once in two weeks. Anasema alikuwa anaweza piga week nzima mfulululizo akiamini dose itatibu ugonjwa kwa muda mrefu. Ila kabla week 2 hazijapita mtu huyo tayari anataka dawa tena.
Kutojali =Kukosa muda/PesaWadada wengi wanaachwa sababu ya vizinga, wanaume wengi wanaachwa kwa sababu ya kutojali...
Unaulizia K.Vant Bar?Si unamuacha tu unatafuta ambaye hana vizinga?? Au wasio na vizinga ndiyo wanakuwaga wabovu na ninyi mnataka wazuri na wasio na vizinga??
Hahahahaha inasikitsha mno.mwanamke omba omba hafai kuwa mke
hapo ndio una familia then baba umeumwa kitandani hoiii
huku nyuma mwanamke wa ivyo si ataomba ndugu ukoo mzima
Hahahaaa Amen Pastorkarena wewe ni bingwa wa kuacha wenzako kwenye mataa unaonyesha
naomba ufatishe hii sala ya Toba
"sema baba yangu ulie mbinguni,nina tubu mimi mtumishi wako,nimekosa,nisamehe AMENI"
Hahahah sasa sabufa yani mtu apige simu mida mibaya au urgently, within an hour unatumika tu. Akiuliza unaongea na nani ni nongwa?Bora wa 2 ntamvumilia.
Ila mwanaume mwema sabufa mdomoni hafai.
Halafu mbona Kama hizo sifa zote zinafuatanaga kwa mtu MMoja huyohuyo[emoji2]