Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Un

Sikia kwenye swala LA MTU kusali inategemea na malezi aliyopitia sasa ww ndio unatakiwa umfundishe jinsi ya kusali na kusoma neno.
unapomfundisha mtu na haelewi wewe unahisi shda nini,malezi au kiburi (hajaamua kubadilika)???
 
Ngoja nitoe story tofauti kidogo. Nilishawahi kuwa na manzi mmoja hivi mdogo mdogo k wa umri na sio umbo. Beautiful kweli kweli, yani Cleopatra akasome.

Shida alikuwa anapenda ngono huyo, hawezi kaa wiki mbili hajapigwa mashine. Mnaweza fululiza wiki nzima mnagegedana tu. Sema show yake ilikuwa si mchezo, she was a naturaaal in the game.

Ikabidi nimkeep kwa matumizi ya kitandani tu, na nikamuonyesha kabisa kwamba she can't be my wife.

Hadi leo nakumbushia mara moja moja , game za level ile ni very rare, unaweza ukafa hujapata. Mabaharia nadhani mtakuwa mmeelewa.
Yani kufanya mapenzi once in two weeks ni kupenda ngono?.
 
Yani kufanya mapenzi once in two weeks ni kupenda ngono?.
Kwa nilivyomuelewa anasema huyo manzi alikuwa hawezi kaa week 2 bila kutafunwa na sio kwamba anafanya eti once in two weeks. Anasema alikuwa anaweza piga week nzima mfulululizo akiamini dose itatibu ugonjwa kwa muda mrefu. Ila kabla week 2 hazijapita mtu huyo tayari anataka dawa tena.
 
Wengine wamezaliwa hivyo
Unakuta wa kike ana homoni za kiume

sio kosa lake
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1],power mabula,,
Tuache masihara. Mdada mzuri sana nilipata mwenzenu mji kasoro bahari.
Tatizo ana kidude cha kati kubwa km mkuyenge. Na tukifanya anamwaga zile nziitooo! Km mwanaume. Mambo yake ni misuri misuri tu. Anaweza kmata ndama mkubwa tu kwa mkono mmoja. Yuko tayari kuzichapa na mimi km nik muudhi. Ana history za kupigana na kaka zake
Akikamua ngombe anazuia kwa mikono. Hafungi ndama.
Niliondoka bila kuaga
 
Nikishawahi kutongoza kidemu flani kizur zur cha mtaani kipindi hcho nasoma chuo siku hyo kikaniambia "yaan mimi sijawah kutongozwa na mwanachuo naona kama bahati" nilimshangaa sana anyway kuna siku natoka zangu chuo napita mtaani nakiona kimekumbatiwa na mshkaji flani kama teja teja hiv nikapita ye hakuniona. Kama dk 40 hv kikaja geto nikakauliza ulikumbatiwa na nani pale..?? Kakashtuka balaa palepale nikaenda kufungua mlango bila kuongea nikamuonesha njia ya kutoka toka apo sikuwah kupokea simu wala kujibu txt ya kile kimanzi na ndo ikawa mwisho wangu kutongoza videmu vya uswahilini na vilivyokimbia shule.
Pole
 
Kwa nilivyomuelewa anasema huyo manzi alikuwa hawezi kaa week 2 bila kutafunwa na sio kwamba anafanya eti once in two weeks. Anasema alikuwa anaweza piga week nzima mfulululizo akiamini dose itatibu ugonjwa kwa muda mrefu. Ila kabla week 2 hazijapita mtu huyo tayari anataka dawa tena.
kuna mademu wengine mvuto sana ukikiona tu limesimama. akisahau vuzi nje. hupati usingizi wakati unaaangalia pale. mkioga ndo kabisaaa, watu wanasahau
 
Back
Top Bottom