Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Yani anajitapa kuwa atajibu majibu ya kanga mbele ya baharia...Kuna ule msemo wa "kenge hasikii mpaka sikio lake litapotoka damu" nitaukamilisha.
umemaliza

ajaribu tu aone utofauti wa baharia na Konda wa dala dala.
 
mwanamke umempa shoo ya kibabe saivi Goli 5 unaenda kazini

ukirudi anataka tena GOLI 5 unajua unaweza kufa hivi hivi

kuna madem engine zao ni za Lamborghini sasa anakutana na mimi mwanaume

nina ka engine cha SUBARU unajua lazima nichemke....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mwachie mwarabu fighter huyo
 
Mkiona vyaelea mjue vimeundwa
 
Oohh basi wasubirieni hao wazuri wasio na vizinga
Mtu anakuomba 30,000. Unamwambia nina 10,000 ananuna. Utafikiri naye ana hela kumbe hata 5,000 kwenye mfuko hana. Mwanamke mpiga viziga hafai kwa ndoa aise maana siku ukiwa tajiri lazima akuue ili amiliki pesa na siku ukiyumba kidogo kiuchumi, atabebwa na mwingine. Wanawake wanaopinga vizinga wanamapenzi ya kuigiza. Akikuomba pesa ukamnyima, tayari amenuna na kwenye mawasiliano huwa wabovu sana. Huwa hawana maneno matamu ya mapenzi pale ambapo hajakuomba hela ila siku akiomba hela. Ataanza baby sijui honey, ataandika maneno matamu matamu ujue anaomba hela. Kama demu wako huwa hakutumii sms za mapenzi wala kukupigia simu. Siku ukiona sms ya maneno matamu matamu, ujue unapigwa kizinga.
 
Hahaa dah; Haya njoo uchukue zawadi yako. Congratulations
 
Hakuna mwanamke asiyependa kupendeza hiyo kabati inavunjwa bila kununuliwa nguo.
 
Hahahaha muwe wavumilivu tuuu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…