Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Yani anajitapa kuwa atajibu majibu ya kanga mbele ya baharia...Kuna ule msemo wa "kenge hasikii mpaka sikio lake litapotoka damu" nitaukamilisha.
umemaliza

ajaribu tu aone utofauti wa baharia na Konda wa dala dala.
 
mwanamke umempa shoo ya kibabe saivi Goli 5 unaenda kazini

ukirudi anataka tena GOLI 5 unajua unaweza kufa hivi hivi

kuna madem engine zao ni za Lamborghini sasa anakutana na mimi mwanaume

nina ka engine cha SUBARU unajua lazima nichemke....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mwachie mwarabu fighter huyo
 
hamna raha mmekaaa wanaume halafu anatokea mpenzi wako yuleeeee wanaume wenzako wanasema

oyaaaaa chekini mtoto yulee chekiniiii chekishiaaa daaaaah kuja kuangalia vizuri ni Dem wako

unawanyamazisha wana unawaambia "kuweni na adabu na shemeji yenu" hawaamini unachowambia

mtoto anafika unamkumbatia unamkiss unamleta karibu unampakata unamtambulisha kwa wanaoo

Unajua ile feeeling mzeeeeeee unajihisi upo na dem mzuri dunia nzimaaaaa hamna wakumkutia.

ILA sasa mtu anakuja kavaa ligauni la kijani mgomba, anatembea kama MATUMAINI aseee ukifika naeza kukusalimia

shikamooooo dada.
Mkiona vyaelea mjue vimeundwa
 
Oohh basi wasubirieni hao wazuri wasio na vizinga
Mtu anakuomba 30,000. Unamwambia nina 10,000 ananuna. Utafikiri naye ana hela kumbe hata 5,000 kwenye mfuko hana. Mwanamke mpiga viziga hafai kwa ndoa aise maana siku ukiwa tajiri lazima akuue ili amiliki pesa na siku ukiyumba kidogo kiuchumi, atabebwa na mwingine. Wanawake wanaopinga vizinga wanamapenzi ya kuigiza. Akikuomba pesa ukamnyima, tayari amenuna na kwenye mawasiliano huwa wabovu sana. Huwa hawana maneno matamu ya mapenzi pale ambapo hajakuomba hela ila siku akiomba hela. Ataanza baby sijui honey, ataandika maneno matamu matamu ujue anaomba hela. Kama demu wako huwa hakutumii sms za mapenzi wala kukupigia simu. Siku ukiona sms ya maneno matamu matamu, ujue unapigwa kizinga.
 
Hahaa dah; Haya njoo uchukue zawadi yako.
Why ugomvi kila saa, wanawake bana. Mi sionagi sababu ya makelele zaidi ya kupeana mahaba tu ukiwa na mwanamke msikivu na mwaminifu.

Mapenzi yanakuwa full of fun if you do stuffs together as friends. Mnacheka pamoja na kupanga mipango yenu ya maisha, doing activities together.

Shida ya wanawake wa kibongo ni umalaya, anataka awe na wewe ila akianza kutongozwa nje anahamishia attention na huko matokeo yake ni kutaka ku sneak out. Ukiwa strict kumfatilia anaona unambana bana. Anaona unam suffocate...

Wengine tukiwa kwenye mahusiano hatupendagi jam, ukianza kuonesha tabia za ajabu ntakubana mpaka utaniona kero. Mwisho ntakukamata na tutaachana tu.
Congratulations
IMG-20191110-WA0012.jpeg
 
Aise, mkuu umenichekesha sana aise, hawa dada zetu hawajui kabisa pale kwenye mtoko inabidi wavunje kabati maana hakuna mwanaume asiyependa kusifiwa kuwa demu/ mke wako ni kisu huwa tunafurahi kwelikweli...

Sio demu wako anafika kwenye sherehe kila mtu anafanya kumnyooshea kidogo vile alivyokuwa mporipori unaweza mkana mtu nakuambia aisee..
Hakuna mwanamke asiyependa kupendeza hiyo kabati inavunjwa bila kununuliwa nguo.
 
Hahahaha muwe wavumilivu tuuu jamani

Back
Top Bottom