Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Yani anajitapa kuwa atajibu majibu ya kanga mbele ya baharia...Kuna ule msemo wa "kenge hasikii mpaka sikio lake litapotoka damu" nitaukamilisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unitoe sikio damu nakuangalia tu!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anajaribu kupima kina cha maji kwa kuzamisha miguu yote kisimani.
Halafu unafikiri najibu kwa nguvu Basi[emoji1787][emoji1787]
Najibu tu taratibu[emoji2]
 
Inshort, mwanamke wa hivyo anakutumia for his benefits. Mapenzi yanakuwa kama kilainishi tu cha kukufanya usiwe na doubt maana utatoa ukijua unamtolea mpenzi wako.

Meanwhile, yeye anaona we ni ng'ombe tu anakukamuaa maziwa, anakupigia hesabu za hela umtimizie matumizi yake ila kwenye mapenzi ni 0!
 
Hio kazi naifanya sana ndio maana ntaua nikikuta boya anachepuka
 
Huyo jamaa ni ndezi🤣🤣🤣! Mie lazma niulizwe, inshort ndio Q Boy msafi wake.
 
Kwa kweli yani mtu anatoka povu kwa juhudi zangu ye amechangia kwenye muonekano wangu?? Yani unakuta linanuna kabisa hali ya kua hata mawazo tu ya nini nivae hajachangia
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulikua unakutana nao wapi hawa mabaharia?
 
kwanza hawatulishi wao

wakija nyumbani ukiwambia wapike wanapika Wali na ma "fast food"

halaafu eti goli 5 weeeee nani kasema....
Dah nimekaa bongo siku 2 sijala kitu cha maana, atokee mtu aseme anataka goli 5 na hili joto *****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…