hivi unajua hamna bullet proof ya kwenye mashavu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku moja natamani nishuhudie wanaume wanavyopiga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Ila Sasa sinaga Cha kufanya ili nisababishe yeye aninasue[emoji1787]
ahahahah lia kisha kata simu.Hapo Ni baada ya kunifosi kwa muda mrefu nimjibu[emoji23]
Nimeomba msamaha hataki,nimemuelekesa hataki..ananilazimishia nikubali anayosema,Sasa unadhani nitafanyaje?
Naomba ujibu comment ya jamaa aliyemuacha manzi kisa kaja kwenye muonekano wa kishambaHuyo jamaa ni ndeziπ€£π€£π€£! Mie lazma niulizwe, inshort ndio Q Boy msafi wake.
kina dada nyie..Kwamba undeni ili vielee jamani, waweza hata mshauri girl wako vaa hivi na hivi, suka hivi, aina hii ya mavazi inakupendeza kulingana na umbo lako hivyo yaani jamani.
Hahahaaa eti malizia tu... Aku na unapotaka kunipeleka siendiiiii...... Hahahahaaaaa
Kuna boya nilimuacha jamaa alikuwa ananipangia mavazi ila kutoa pesa kununua hataki anataka nivae nguo za ajabu zenye kuonesha mwili wangu nilisepa haraka.Kwa kweli yani mtu anatoka povu kwa juhudi zangu ye amechangia kwenye muonekano wangu?? Yani unakuta linanuna kabisa hali ya kua hata mawazo tu ya nini nivae hajachangia
Mwenyewe hua najiuliza hivi wanapigaje pigaje, au wanapigwaje pigwaje?? Yani inakuaje kuaje hadi mtu anazabwa au anazaba jamani hahahaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku moja natamani nishuhudie wanaume wanavyopiga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Ila Sasa sinaga Cha kufanya ili nisababishe yeye aninasue[emoji1787]
Jamaa hajui kujali tu halikadhalika alikuwa hajapenda. Kuna wanaume tumejaliwa nafsi za ku treat wanawake vizuri bana sema ndio hivyo hatuna bahati. Unamfanya mama anajifeel kama malaika.Naomba ujibu comment ya jamaa aliyemuacha manzi kisa kaja kwenye muonekano wa kishamba
Dayumnπ€£π€£π€£Kuna boya nilimuacha jamaa alikuwa ananipangia mavazi ila kutoa pesa kununua hataki anataka nivae nguo za ajabu zenye kuonesha mwili wangu nilisepa haraka.
Hahahahhaha kuna mwanamke hata uwe mbabe vipi unaishia kukasirika tu maana anakuwa mpole sana akikuudhi. Unamuonea imani kabisa.Mwenyewe hua najiuliza hivi wanapigaje pigaje, au wanapigwaje pigwaje?? Yani inakuaje kuaje hadi mtu anazabwa au anazaba jamani hahahaaaaa
Hamna bwana CONTROLA mapenzi yanahusisha vitu vingi sana amini hivyo, binafsi hua napenda t-shirts flani hivi akivaa basi nilipoiona nikamwambia aina hii inakupendeza sana siku moja nikamnunulia nikampatia kuonyesha msisitizo kwamba ninafurahia akivaa, ama suruali ikimtoa namwambia dady umependeza aina hii ya jeans ndio inakupendeza sana yeye ana mwili kidogo hivyo nguo za kumchonga hazimtoi hivyo akivaa zinazoachia kidogo hazimchongi anapendeza mwenyeweee na hua namwambia kwa upendo hivyo tu yanikina dada nyie..
acha tu mi nifumbe hili bakuli..
Woga nao unasaidia eti, unachange unakua mpoleee yani hata nguvu ya kupiga mtu anaikosaHahahahhaha kuna mwanamke hata uwe mbabe vipi unaishia kukasirika tu maana anakuwa mpole sana akikuudhi. Unamuonea imani kabisa.
Kweli huyo ni boya, heri ulimkimbia my dearKuna boya nilimuacha jamaa alikuwa ananipangia mavazi ila kutoa pesa kununua hataki anataka nivae nguo za ajabu zenye kuonesha mwili wangu nilisepa haraka.
Huyo alikuwa mtoto mdogo au bishoo, baharia wakweli huwezi fosi mtoto avae kishamba kama teenager.Kuna boya nilimuacha jamaa alikuwa ananipangia mavazi ila kutoa pesa kununua hataki anataka nivae nguo za ajabu zenye kuonesha mwili wangu nilisepa haraka.
Hio ndio Calibre ya kike sasa.Woga nao unasaidia eti, unachange unakua mpoleee yani hata nguvu ya kupiga mtu anaikosa
Good Lord..! Mbona wengine tukipenda na kutulia tunapenda kweli kuanzia kiroho na kimwili.?Why ugomvi kila saa, wanawake bana. Mi sionagi sababu ya makelele zaidi ya kupeana mahaba tu ukiwa na mwanamke msikivu na mwaminifu.
Mapenzi yanakuwa full of fun if you do stuffs together as friends. Mnacheka pamoja na kupanga mipango yenu ya maisha, doing activities together.
Shida ya wanawake wa kibongo ni umalaya, anataka awe na wewe ila akianza kutongozwa nje anahamishia attention na huko matokeo yake ni kutaka ku sneak out. Ukiwa strict kumfatilia anaona unambana bana. Anaona unam suffocate...
Wengine tukiwa kwenye mahusiano hatupendagi jam, ukianza kuonesha tabia za ajabu ntakubana mpaka utaniona kero. Mwisho ntakukamata na tutaachana tu.
Mapenzi ya mwanamke kwako ndio kigezo kikuu cha uaminifu wakeKuoa mwanamke anayependa ngono ni hatari kwa ustawi ndoa kwasababu huwezi kumuacha miezi 6 ukamkuta salama. Mfano. shughuli zako sa kusafiri safiri, yaani unatoka nyumbani unajua kabisa nikipitisha wiki moja nakuta ameshagongwa tayari. Hata mimi siwezi kuoa mwanamke mpenda ngono mpaka keshokutwa.
Swala dogo, mi siamini juu ya urafiki wa mpenzi wangu na wanaume wengine nikiwa niko nae kwa relationship. Im never into that shit, kama we ni entertainer wa hilo jua kutakuwa na migongano at some point.Good Lord..! Mbona wengine tukipenda na kutulia tunapenda kweli kuanzia kiroho na kimwili.?
Shida ni hiyo mindset mliyojijengea kuwa wanawake wote wana tabia mbaya while that's not true na hiyo inawafanya muwe waoga na msio jiamini mnaanza visa kila wakati kwa sababu ndogo ndogo zisizo na maana.!!
π π π π π π π π πJamaa hajui kujali tu halikadhalika alikuwa hajapenda. Kuna wanaume tumejaliwa nafsi za ku treat wanawake vizuri bana sema ndio hivyo hatuna bahati. Unamfanya mama anajifeel kama malaika.
Nina manzi wangu mmoja pia alikuwa ananisimulia kisa cha kuachana na EX wake mmoja alimuacha baada ya kumu approach kwa muda mrefu kisha siku akakubali wametoka out akawa hana habari nae, et jamaa hataki hata kuguswa madai sijui ni aibu au kinyaa flani, ile mtoto akitaka leta madeko mwamba anamuhepa anaenda kucheza ma pool table. Mda wakwenda kupumzika manz kanywa mabia kachanganya alipofika tu room kwa jamaa akamkomoa kwa kumtapikia π€£π€£π€£π€£π€£!
Jamaa alimtimua hapo hapo kabla ya kufanya lolote...ikawa mwisho!
Nachekaga kinoma kila nikiwaza hilo.