Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku moja natamani nishuhudie wanaume wanavyopiga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Ila Sasa sinaga Cha kufanya ili nisababishe yeye aninasue[emoji1787]
hivi unajua hamna bullet proof ya kwenye mashavu

yani unataka kuona inakuagaje? acha nisikufundishe usje Batuliwa ukanilaumu..
 
Kuna mmoja niliamua kumuacha kimya kimya ,,,simply hakua n neno lolote zuri l shukrani kila kitu anaomba kwa amri n ukimpa hata shukrani hamna,, nikaamua kupiga kimya alihangaika balaa kwa siku alikua anaweza piga cm zaidi y mara 40 SMS ndo usiseme,,,,nikaamua nimchane kwamba una dosari ambazo siziwezi akadai nimpe nafasi y mwisho atajirekebisha nikamwambia "your mature enough n ngumu kubadilika" nikamlisha block z kila kona
 
Kwamba undeni ili vielee jamani, waweza hata mshauri girl wako vaa hivi na hivi, suka hivi, aina hii ya mavazi inakupendeza kulingana na umbo lako hivyo yaani jamani.

Hahahaaa eti malizia tu... Aku na unapotaka kunipeleka siendiiiii...... Hahahahaaaaa
kina dada nyie..

acha tu mi nifumbe hili bakuli..
 
Kwa kweli yani mtu anatoka povu kwa juhudi zangu ye amechangia kwenye muonekano wangu?? Yani unakuta linanuna kabisa hali ya kua hata mawazo tu ya nini nivae hajachangia
Kuna boya nilimuacha jamaa alikuwa ananipangia mavazi ila kutoa pesa kununua hataki anataka nivae nguo za ajabu zenye kuonesha mwili wangu nilisepa haraka.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku moja natamani nishuhudie wanaume wanavyopiga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..
Ila Sasa sinaga Cha kufanya ili nisababishe yeye aninasue[emoji1787]
Mwenyewe hua najiuliza hivi wanapigaje pigaje, au wanapigwaje pigwaje?? Yani inakuaje kuaje hadi mtu anazabwa au anazaba jamani hahahaaaaa
 
Naomba ujibu comment ya jamaa aliyemuacha manzi kisa kaja kwenye muonekano wa kishamba
Jamaa hajui kujali tu halikadhalika alikuwa hajapenda. Kuna wanaume tumejaliwa nafsi za ku treat wanawake vizuri bana sema ndio hivyo hatuna bahati. Unamfanya mama anajifeel kama malaika.

Nina manzi wangu mmoja pia alikuwa ananisimulia kisa cha kuachana na EX wake mmoja alimuacha baada ya kumu approach kwa muda mrefu kisha siku akakubali wametoka out akawa hana habari nae, et jamaa hataki hata kuguswa madai sijui ni aibu au kinyaa flani, ile mtoto akitaka leta madeko mwamba anamuhepa anaenda kucheza ma pool table. Mda wakwenda kupumzika manz kanywa mabia kachanganya alipofika tu room kwa jamaa akamkomoa kwa kumtapikia 🤣🤣🤣🤣🤣!

Jamaa alimtimua hapo hapo kabla ya kufanya lolote...ikawa mwisho!

Nachekaga kinoma kila nikiwaza hilo.
 
kina dada nyie..

acha tu mi nifumbe hili bakuli..
Hamna bwana CONTROLA mapenzi yanahusisha vitu vingi sana amini hivyo, binafsi hua napenda t-shirts flani hivi akivaa basi nilipoiona nikamwambia aina hii inakupendeza sana siku moja nikamnunulia nikampatia kuonyesha msisitizo kwamba ninafurahia akivaa, ama suruali ikimtoa namwambia dady umependeza aina hii ya jeans ndio inakupendeza sana yeye ana mwili kidogo hivyo nguo za kumchonga hazimtoi hivyo akivaa zinazoachia kidogo hazimchongi anapendeza mwenyeweee na hua namwambia kwa upendo hivyo tu yani

Siku moja zamani kidogo kuna kaka aliwahi nipenda lakini hatukuwahi ingia kwenye mahusiano kwa sababu flani flani aliniambia natamani ujaribu kushona gauni refu mpaka chini la kumwaga nahisi utapendeza sana chukua hiki kitenge kajaribu nikamshukuru nikapeleka kwa fundi nikashona nikavaa nikaona uuuhh kumbe, nikaanza kushona magauni aina hiyo baada ya kugundua yananitoa na yananiletea muonekano mzuri nilichokuja kugundua ni kwamba alitaka niwe navaa nguo pana na za heshima ndicho alichopendelea i mean ndio muonekano unao mpendeza machoni pake...

Nataka kusema nini hapa it's all about love na kujali na si kwa muktadha wa vizinga jamani loooohhhhh CONTROLA usiogope gharama jamani
 
Kuna boya nilimuacha jamaa alikuwa ananipangia mavazi ila kutoa pesa kununua hataki anataka nivae nguo za ajabu zenye kuonesha mwili wangu nilisepa haraka.
Huyo alikuwa mtoto mdogo au bishoo, baharia wakweli huwezi fosi mtoto avae kishamba kama teenager.

Vaa smart kwa staha tu. Nice shoes, flats za ukweli au kama una vidole vizuri na kucha safi vaa opens ama sandals. Sio lazma uoneshe maungo yako, we sio vixen! Try to date with guys with sense of style jamani.

Kitu ambacho atakikumbuka mpenzi wangu siku tukiachana ni how i influence her looks.
 
Why ugomvi kila saa, wanawake bana. Mi sionagi sababu ya makelele zaidi ya kupeana mahaba tu ukiwa na mwanamke msikivu na mwaminifu.

Mapenzi yanakuwa full of fun if you do stuffs together as friends. Mnacheka pamoja na kupanga mipango yenu ya maisha, doing activities together.

Shida ya wanawake wa kibongo ni umalaya, anataka awe na wewe ila akianza kutongozwa nje anahamishia attention na huko matokeo yake ni kutaka ku sneak out. Ukiwa strict kumfatilia anaona unambana bana. Anaona unam suffocate...

Wengine tukiwa kwenye mahusiano hatupendagi jam, ukianza kuonesha tabia za ajabu ntakubana mpaka utaniona kero. Mwisho ntakukamata na tutaachana tu.
Good Lord..! Mbona wengine tukipenda na kutulia tunapenda kweli kuanzia kiroho na kimwili.?
Shida ni hiyo mindset mliyojijengea kuwa wanawake wote wana tabia mbaya while that's not true na hiyo inawafanya muwe waoga na msio jiamini mnaanza visa kila wakati kwa sababu ndogo ndogo zisizo na maana.!!
 
Kuoa mwanamke anayependa ngono ni hatari kwa ustawi ndoa kwasababu huwezi kumuacha miezi 6 ukamkuta salama. Mfano. shughuli zako sa kusafiri safiri, yaani unatoka nyumbani unajua kabisa nikipitisha wiki moja nakuta ameshagongwa tayari. Hata mimi siwezi kuoa mwanamke mpenda ngono mpaka keshokutwa.
Mapenzi ya mwanamke kwako ndio kigezo kikuu cha uaminifu wake
Ukimpenda mwanaume kweli kweli hutomsaliti hata siku 1 hata ubanwe na hamu vipi

kama hakupendi hata awe na low libido atatoka tu kutafta faraja kwa mwingine
 
Good Lord..! Mbona wengine tukipenda na kutulia tunapenda kweli kuanzia kiroho na kimwili.?
Shida ni hiyo mindset mliyojijengea kuwa wanawake wote wana tabia mbaya while that's not true na hiyo inawafanya muwe waoga na msio jiamini mnaanza visa kila wakati kwa sababu ndogo ndogo zisizo na maana.!!
Swala dogo, mi siamini juu ya urafiki wa mpenzi wangu na wanaume wengine nikiwa niko nae kwa relationship. Im never into that shit, kama we ni entertainer wa hilo jua kutakuwa na migongano at some point.
 
Jamaa hajui kujali tu halikadhalika alikuwa hajapenda. Kuna wanaume tumejaliwa nafsi za ku treat wanawake vizuri bana sema ndio hivyo hatuna bahati. Unamfanya mama anajifeel kama malaika.

Nina manzi wangu mmoja pia alikuwa ananisimulia kisa cha kuachana na EX wake mmoja alimuacha baada ya kumu approach kwa muda mrefu kisha siku akakubali wametoka out akawa hana habari nae, et jamaa hataki hata kuguswa madai sijui ni aibu au kinyaa flani, ile mtoto akitaka leta madeko mwamba anamuhepa anaenda kucheza ma pool table. Mda wakwenda kupumzika manz kanywa mabia kachanganya alipofika tu room kwa jamaa akamkomoa kwa kumtapikia 🤣🤣🤣🤣🤣!

Jamaa alimtimua hapo hapo kabla ya kufanya lolote...ikawa mwisho!

Nachekaga kinoma kila nikiwaza hilo.
😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛
 
Back
Top Bottom